Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), Mhandisi Shaban Kaswaka (kushoto), akimtambulisha kwa wananchi Mgombea Udiwani kupitia chama hicho Kata ya Kijichi, Abdallah Shamas katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mwanamtoti Temeke jijini Dar es Salaam. Wasanii wa kundi la Sanaa la Mwamuko wakitoa burudani kwenye mkutano huo. Wafuasi wa CUF wakimkaribisha …
Zanzibar Wajitokeza Kutembelea Banda la NIDA Viwanja vya Maisara
WANANCHI wa Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kwenye sherehe za uzinduzi wa maonesho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yanayoendelea kwenye viwanja vya Maisara mjini Zanzibar. Maonesho hayo yamezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dr. Ali Mohamed Shein, ambaye pamoja na mambo mengine amesisitiza Taasisi za Serikali na binafsi …
TTCL Yakanusha Taarifa ya Gazeti la The East African
TAARIFA KWA UMMA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL, INAPENDA KUUJULILISHA UMMA KUWA,TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KATIKA UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA THE EAST AFRICAN TOLEO NAMBA 1158 LA TAREHE 07-13 JANUARI 2017 KUHUSU TTCL KUONGEZEWA MUDA WA KUJIUNGA NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM SIO SAHIHI. TTCL KAMA ZILIVYO KAMPUNI NYINGINE ZA MAWASILIANO, INAWAJIBIKA KUTEKELEZA SHERIA NA MAELEKEZO YA …
Uwanja wa Ndege Mwanza Kukamilika Novemba
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi anayejenga na kukarabati uwanja wa ndege wa Mwanza Beijing Construction Engineering Group (BCEG), kuhakikisha ujenzi huo unakamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa mnara wa kuongozea ndege, jengo la kuhifadhia mizigo, eneo la kuegeshea ndege na jengo la umeme litakalotoa huduma katika uwanja …
UVCCM Longido Yatoa Msaada Kwa Watoto Yatima
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Longido umetembelea kituo cha Watoto yatima na Wanaoishi katika mazingira magumu cha Masai Foundation kilichopo mji mdogo wa Namanga na kutoa msaada wa vyakula pamoja na vifaa mbalimbali. Mjumbe Baraza Kuu UVCCM Mkoa wa Arusha Robert Kaseko Amesema kuwa wameamua kushirikiana na jamii katika kusaidia watoto ikiwa ni …