Wasichana Wanne Kutoka Tanzania Waenda Kupata Mafunzo ya Uongozi

Wasichana wanne wa Tanzania wakiaga  kwa kupungia mikono huku wakiwa na , Bendera ya Taifa waliyokabidhiwa na Kamishna Mkuu wa Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), Symphorosa Hangi katika hafla ya kuwaaga kwenda Uganda ambako watakutana na wenzao 31 kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati katika mafunzo ya uongozi na utamaduni katika nchi hizo. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Ndege …

Tanzania Kutumia Mfumo wa Dirisha Moja la Huduma…!

TANZANIA itaanza kutumia Mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System) ili kuhakikisha inaboresha huduma kwa wafanyabiashara ambao wanaingiza mizigo nchini kwa njia ya bandari, mipaka na viwanja vya ndege, Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imeeleza mpango wa Serikali wa kuanza kutumia mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System) ambao kwa hakika utamaliza tatizo …

Taasisi za Umma Marufuku Kujenga Vituo Binafsi vya Kuifadhi Data

                SERIKALI imezitaka taasisi zake kote kuachana na mpango wa kujenga Vituo binafsi vya vya kuhifadhia kumbukumbu (Data Center) na badala yake kutumia Kituo cha Serikali cha kuhifadhia Data na kumbukumbu (NIDC) chenye uwezo na hadhi ya Kimataifa. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mbarawa baada …

DC Hai Atoa Maelekezo kwa Mkurugenzi Juu ya Watumishi Wabadhilifu

  Mkuu wa wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai kuhusu ubadhilifu uliofanyika wakati wa zoezi la utengenezaji wa madawati. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Yahana Sintoo. Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai wakiwa katika kikao hicho. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanawa (katikati) akiwa na katibu tawala wa …