SERIKALI imesema itatoa fedha kwa ajili ya kukamilisha sehemu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Jengo la Abiria la Tatu la abiria (Terminal III) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam ili kuboresha huduma za usafiri wa anga nchini. Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo Waziri Prof. Makame Mbarawa amesema …
Halmashauri ya Jiji Arusha Yaokoa Zaidi ya Milioni 300
Na Woinde Shizza, Arusha HALMASHAURI ya jiji la Arusha imeokoa zaidi ya shilingi milioni mia tatu sitini na nne zilizokuwa zitumike kwa ajili ya kuwapa wakandarasi kwa ajili ya kujenga madarasa baada yake kamati za shule kupewa jukumu la kusimamia ujenzi wa madarasa hayo badala ya mkandarasi. Hayo yamebainishwa na Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Kalist Lazaro wakati akiongea na waandish I wa habari ambapo alisema kuwa halmashauri yake wamekaa …
Waziri Mbarawa Ataka Mfuko wa Mawasiliano Kuwafikia Wanavijiji
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Menejimenti ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF), kuhakikisha vijiji vyote nchini ambavyo havijaunganishwa na huduma ya mawasiliano vinaunganishwa kabla ya mwisho wa mwaka huu. Aidha, Profesa Mbarawa amesisitiza mfuko huo kutoa kipaumbele kwa vijiji vyote vilivyomo sehemu za mipakani ili kuimarisha ulinzi na uharaka wa mawasiliano katika …
Waziri Prof Mbarawa Avamia Ofisi za Shirika la Posta…!
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akipatiwa maelezo na Meneja wa Posta Mkoa wa Dar es Salaam, Margret Mlyomi (katikati), wakati alipofika katika ziara ya kushtukiza kwenye Ofisi za Shirika la Posta, Posta Kuu jijini Dar es Salaam leo kuangalia shughili mbalimbali zinavyofanyika ofisini hapo. Mkuu wa Kitengo cha Usalama cha Shirika la Posta …
Mbunge Tanga Awaokoa Askari wa Jiji la Tanga kwa Kipigo…!
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Mhina Mustapha Selebosi mwenye miwani na tisheti akizungumza na wasafirishaji wanaofanya shughuli zao kati ya Mombasa nchini Kenya kuhusu kuwataka kuhamia eneo la stendi mpya ya kange kwa ajili ya kutoa huduma zao kulia mwenye kofia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku. Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mhina Mustapha Selebosi mwenye miwani na tisheti akizungumza na wasafirishaji …