RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 25 Januari, 2017 amefungua rasmi awamu ya kwanza ya miundombinu na utoaji wa huduma ya usafiri wa haraka wa mabasi (BRT) katika Jiji la Dar es Salaam uliotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na msongamano wa magari ndani ya Jiji na athari zake katika …
Tamasha la 14 la Sauti za Busara 2017 Kutoka ‘Kivingine’
WAKATI Tamasha la 14 la Sauti za Busara limebakiza siku chache kufanyika pale Mji Mkongwe, Zanzibar 9-12/Februari kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa tamasha la Sauti za Busara lenye kauli mbiu ya ‘AfricaUnited’ mwaka huu tamasha litakua na majukwaa matatu yatakayotumiwa na wasanii wote kimataifa/nyumbani. Watu mbali mbali wenye rangi tofauti, umri tofauti kwa mara nyingine tena …
Ma DC Wafanya Ziara Shamba la Majaribio Zao la Mahindi Makutupora Dodoma
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye mkutano na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira, Profesa Faustine (hayupo pichani), walipotembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mkoani Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deogratius Ndejembi, Bahi, Elizabeth Kitundu, Mpwapwa Jabir Shekimweri na Mshauri wa Kilimo Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa …
NEC Yafafanua Taarifa za Upotoshaji Uchaguzi Mdogo Dimani Zanzibar
Na Aron Msigwa – NEC TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa Kura 234 ziliharibika katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Dimani, Zanzibar Januari 22, 2017. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Ramadhan Kailima amesema kuwa Wapiga Kura walioandikishwa katika jimbo la Dimani, Zanzibar ni 9,275. Amesema kati ya hao wapiga …
Kampuni ya Bia Serengeti Yawapati Watanzania Mil. 2 Maji Safi na Salama
Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, John Wanyancha akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu mradi wa maji ulioweza kuwafikia watanzania milioni 2 katika programu ya hisani ya kusaidia jamii inayoendeshwa na kampuni hiyo inayolenga kuboresha maisha katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika mapema jana katika hoteli ya Morena Mkoani Dodoma. Waandishi wa habari wa mkoani Dodoma wakichukua …
Recycling of Waste, Discovering of Gas Should Foster Progress in Tanzania
United Nations Environment Programme, Executive Director, Erik Solheim (right) speaks to reporters at the news conference held in Dar es Salaam on his official visit to Tanzania on Global environmental agenda, on his right, UN Resident Coordinator, Alvaro Rodriguez. TANZANIA should adapt recycling waste policy, increasing uses of gas instead of charcoal for cooking as a long term solution …