Ujenzi wa Reli ya Kisasa Dar – Moro Kuanza Mwezi Machi, 2017

  SERIKALI imetiliana saini ya makubaliano ya ujenzi wa sehemu ya kipande cha reli ya kisasa (Standard Gauge), chenye urefu wa KM 300 kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro ambao ujenzi wake unatarajiwa kuanza baada ya mwezi mmoja na nusu kutoka sasa. Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya …

LSF Yatoa Msaada wa Laptop kwa Wasaidizi wa Kisheria

                MFUKO wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) umekabidhi laptop 170 kwa asasi mbalimbali zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wahitaji katika mikoa anuai nchini Tanzania. Akizungumza kabla ya kukabidhi vitendea kazi hivyo kwa wawakilishi  wa mikoa wa mashirika washauri wa msaada wa wa kisheria, Mjumbe wa Bodi ya LSF, Dk. Benson …

Rais Magufuli Amteuwa Jenerali Venance Mabeyo Mkuu wa Majeshi Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, leo Tarehe 02 Februari, 2017 amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania. Pamoja na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo amepandishwa cheo na kuwa Jenerali. Jenerali Venance S. Mabeyo anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jenerali …

Mwongozo Mpango wa Ujenzi wa Barabara Wazinduliwa

  SERIKALI imezindua mwongozo wa mpango na usanifu wa ujenzi wa barabara zinazopitisha magari machache kwa lengo la kutoa maelekezo na kuwawezesha wahandisi wanaofanya usanifu wa barabara hizo kutumia gharama nafuu za ujenzi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga amesema kuwa mwongozo …

Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi

Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameelezea kusikitishwa kwake na namna Mahakama inavyoshughulikia kesi zinazohusiana na ukwepaji wa kodi na ametoa wito kwa mahakama na wadau wake kujipanga kukabiliana na dosari hiyo inayorudisha nyuma juhudi za maendeleo ya nchi. Mhe. Rais Magufuli ametoa kauli …

Madaktari Bingwa Tiba ya Mifupa Watoa Elimu Namna ya Kuhudumia Majeruhi

  Madaktari mbalimbali wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini. Madaktari wa Tiba ya Mifupa wakishiriki mafunzo hayo. Kutoka kushoto ni Dk. Hamid Masoud, Dk. Valentine Restus na Dk. Joseph Msemwa.   Na Dotto Mwaibale   UMOJA wa Madaktari Bingwa wa Mifupa Duniani (SICOT) ikishirikiana na Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), umetoa elimu ya namna ya kutoa huduma kwa majeruhi wa …