Mti wa Kihistoria Waanguka Makumbusho ya Taifa Dar
MTI mkubwa wa kihistoria aina ya Mkuyu wenye kusadikiwa na miaka zaidi ya mia moja (100) uliopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam umekatika tawi kubwa na kuangukia sehemu ya jumba hilo na kuleta madhara kidogo kwenye Jengo hilo. Mashuhuda wa tukio hilo lililotokea mnamo saa saba mchana walisema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha mara …
Waliosusia Maiti ya Kichanga Amana Wamtaka Waziri wa Afya…!
Na Dotto Mwaibale SAKATA la Julieth Daudi (19) mkazi wa Tabata Relini pamoja na ndugu zake kususia kuchukua mwili wa mtoto aliyejifungua kwa madai kuwa mtoto huyo hakuwa wake huku akidai kabadilishiwa na wauguzi wa Hospitali ya Amana, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kujifungua limechua sura mpya kufuatia wazazi hao kutaka kwenda kumuona Waziri wa Afya kufikisha kilio …
Vyama vya Siasa Vyatakiwa Kutoa Fursa za Uongozi kwa Wanawake
BAADHI ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya Tatu za Mkoa wa Dar es Salaam yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wameviomba vyama vya siasa kutoa fursa za uongozi kwa wanawake ili waongezeke katika nafasi za uongozi ngazi mbalimbali. Ombi hilo limetolewa na viongozi hao katika maoni yao walipokuwa katika semina …
Mradi wa Africa Rising Kuzuia Upotevu wa Mazao
Na; Ferdinand Shayo, Morogoro. Asilimia 20 mpaka 40 ya mazao yanayovunwa na wakulima hasa mahindi hupotea kuanzia kipindi cha uvunaji mpaka kuhifadhi. kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo mbinu hafifu za uhifadhi wa mazao hayo. Mazao ya Wakulima huanza kupotea yakiwa shambani kipindi cha uvunaji,usafirishaji ,kuanika na kuhifadhi. Wakulima wengi wamekuwa wakitumia mbinu duni za kuhifadhi mazao yao na kujikuta …
Angalia Magari Manne Yalivyogongana na Kusababisha Majeruhi
Wananchi wakimuangalia dereva wa teksi aliyejeruhiwa baada ya gari lake lenye namba za usajili T 625 AWS kugongana na gari dogo lenye namba za usajili T 214 CFX wakati likiingia barabara ya Nyerere likitokea Jengo la Kibiashara la Quality Centre Dar es Salaam. Wananchi wakiangalia ajali hiyo. Wananchi wakiangalia gari dogo aina ya Toyota Corolla lenye namba T 214 …