Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa akinyunyiza marashi juu ya Mirungi iliyofungwa katika vipande vya magazeti ikiwa ni mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa bidhaa hizo. Baadhi  ya watuhumiwa wa dawa za kulevya waliokamatwa …

CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa

CSSC yajivunia hospitali 102 na taasisi 1006 nchi nzima TUME ya Kikristo ya Huduma za jamii (CSSC), inatarajia kuadhimisha miaka ishirini na mitano (25), tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, maadhimisho yatakayofanyika kwa siku mbili tarehe 21 na 22 mwezi Februari katika ukumbi wa Diamond Jubelee na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mtendaji …

Habari Hazichangii Kutokomeza Umasikini kwa Wanaoishi Vijijini…!

Taarifa ya utafiti huo ikiendelea kutolewa. Mwanahabari Hilda wa gazeti la Daily News akiwa mzigoni. Maofisa wa LHRC wakifuatilia mkutano huo.     Na Dotto Mwaibale   UTAFITI uliofanywa na Mwanachama wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Ananilea Nkya, kama sehemu ya masomo yake ya  Shahada ya Uzamivu (PhD), umebaini kuwa habari zinazotangazwa na vyombo vya habari nchini  hazichangii …

Wizara ya Fedha Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akizungumza na Wanahabari kuhusu Wizara yake ilivyotekeleza Agizo la Rais Dkt. John Magufu kuhusu kumlipa Mkandarasi anayejenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 3). Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Doto James, Wizara ya Fedha na Mipango imemlipa Mkandarasi anayejenga Mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege …

TCRA Yapiga Marufuku TV za Mitandaoni…!

Na Sultani Kipingo MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezuia mtu yeyote kuendesha huduma za TV Mtandao nchini hadi hapo itakapoweka utaratibu wa kusajili huduma hizo. Kwa taarifa hizo imewataka waendeshaji wa huduma hizo wakiwemo Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandao hadi hapo kanuni za usajili rasmi ambazo mamlaka hiyo imesema inaandaa kwa huduma hizo. Barua hiyo, …

Prof Mbarawa Apangua Ujenzi Terminal III, Mtumbua Meneja TAA

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameteua timu mpya ya wataalamu saba kwa ajili ya kusimamia mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria (Terminal III), katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia agizo la Mheshimiwa Rais John Magufuli alilolitoa jana wakati alipofanya ziara ya kushtukiza uwanjani …