Yatima S.O.S Dar Wamlilia Blogger Chinga One wa TBN

     Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika Ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Jennifer Livigha aliyekuwa mmiriki wa Blog ya Chinga One katika Hospitali ya Amana.  Waongozaji wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Jennifer  Waombolezaji wakiwemo baadhi ya wana Tanzania Bloggers Network (TBN) ambapo Marehemu Jennifer alikuwa mwanachama  Mmoja ya waombolezaji akitoa historia fupi ya Marehemu Mmoja wa wanafamilia …

Monduli Yaunga Mkono Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya

Mkuu wa mkoa akipokea kadi ya CHF wilaya ya Monduli kutoka kwa mkuu wa wilaya hiyo Idd Kimanta, ili kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo.   Baadhi ya watumishi katika halmashauri ya wilaya ya momduli  wakifuatilia yaliyokuwa yanaendelea kwa makini.   Mkutano unaendele wadau pamoja na watumishi wa wa halmashauri hiyo wakifuatilia yale yanayoendelea. Picha zote na Vero Ignatus Blog Na Vero Ignatus, Monduli   …

Hukumu Kesi ya Kikatiba Sheria ya Makosa ya Mtandao ‘Kizungumkuti’

  HUKUMU ya kesi ya Kikatiba namba 9 ya mwaka 2016 iliyofunguliwa mwaka jana na Kampuni ya Jamii Media ikipinga baadhi ya vifungu vya sheria ya makosa ya mtandao kwa kile kuingilia uhuru wa maoni na kujieleza wa wananchi imeshindwa kusoma huku kukiwa hakuna sababu zilizotajwa. Akizungumza leo eneo la Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam Wakili wa Jamii Media, …

Mwakilishi UNDP, RC Kilimanjaro Wazinduwa Vyoo Shule za Msingi Moshi

Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez pamoja na Mkuu wa wilaya ya Moshi Kippi Warioba wakizindua rasmi vyoo vilivyojengwa katika shule za msingi 10 wilayani Moshi za kufadhiliwa na UNDP. Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeelo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alavaro Rodriguez pamoja na Mkuu wa wilaya ya …

Meya Dar Aomba Busara za Mashehe Kuliongoza Jiji

  Na Elisa Shunda MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewaomba Mashehe na Wazee wa jiji kumuunga mkono katika katika kazi yake ili kutatua changamoto zilizopo katika jiji hilo. Meya Isaya ametoa kauli hiyo jiji hapa wakati wa maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume wao Muhammad Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam ambapo, pamoja na …

Kipindupindu Charejea Dar, Chaibukia Kigamboni

Na Dotto Mwaibale WAKATI jiji la Dar es Salaam likiwa katika  mapambano ya kukabiliwa na dawa za kulevya jiji hilo limekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu ambapo mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Ramadhan Kiumbo (maarufu kwa jina la Popo) mkazi wa Kibada Kigamboni amefariki kutokana na ugonjwa huo.   Akizungumza Dar es Salaam leo ndugu yake na marehemu huyo aliyejitambulisha …