RC Gambo Atembelea Nyumbani kwa Hayati Sokoine, Monduli
Na Imma Msumba, Monduli MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo wikiendi hii alipata nafasi ya kutembelea nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine huko Monduli juu Wilayani Monduli. Mh;Gambo alipata wasaaa wa kuzungumza na wajane wa kiongozi huyo mkubwa wa Kitaifa aliyefariki kwa ajali ya gari mwaka 1984 eneo la Dumila huko Mkoani Morogoro, …
Wafanyabiashara 2000 Kunufaika na Njia Mpya ya Masoko
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Zaidi ya Wafanyabiashara 2000 wataweza kunufaika na Mradi wa soko mkononi unaotoa taarifa za masoko na uwekezaji katika nchi za Afrika Mashariki. Kutokana na Changamoto ya Wafanyabiashara wa kati na wa wadogo kutokupata masoko mradi huo ulioko chini ya Shirika lisilikoua la kiserikali la Vision for Youth umeanza kutoa taarifa za masoko na fursa za uwekezaji. Mkurugenzi …
Mbunge Ritta Kabati Akabidhi Mifuko ya Saruji Ujenzi Ofisi ya CCM Ruaha
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akiwa katika eneo la uwanja wa kujenga ofisi ya kata ya Ruaha. Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akibadilishana mawazo na katibu wa ccm manispaa ya Iringa Nuru Ngereja. Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha …
Rais Mstaafu Dk Kikwete Akabidhi Ripoti ya ‘Kizazi cha Elimu’
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mazungumzo na Rais Alassane Ouattara. Kulia kwake ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Daniel Kablan Duncan. Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiagana na Rais Alassane Ouattara baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Ivory Coast. Rais MStaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Uongozi …
VETA-JKT Wawaasa Vijana Juu ya Dawa za Kulevya
Paredi la ukakamavu na uzalendo likifanyika. Gwaride likitoa heshima mbele ya mgeni rasmi. Ndugu, wazazi na jamaa wa wanafunzi hao wakifuatilia kwa karibu shughuli hiyo. wanafunzi wa shule hiyo wakifuatilia gwaride hilo. Gwaride likiendelea. wazazi wakiwa kwenye hafla hiyo. Wimbo maalumu ukiimbwa. Kiongozi wa gwaride hilo, Pelegia Nyunga akikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi. Francis Christopher akipewa zawadi. …