Rais Magufuli Amtakia Heri za Kuzaliwa Rais Dk Shein

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Machi 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma. Dkt. Magufuli amesema katika mazungumzo yao wamezungumza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumtakia heri Rais wa Zanzibar na …

Rais Magufuli Atuma Rambirambi Kifo cha George Kahama

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mmoja wa Waasisi wa Taifa na Waziri Mstaafu Bw. George Kahama kufuatia kifo cha kiongozi huyo kilichotokea leo tarehe 12 Machi, 2017. Bw. George Kahama amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Katika …

Timuatimua ya CCM Dodoma…!

TIMUATIMUA iliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wake mkuu maalum mjini Dodoma imemkumba Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba (Mb), na wenyeviti wa CCM Mikoa ya Dar es Salaam (Ramadhani Madabida), Iringa (Jesca Msambatavangu) , Shinyanga (Erasto Kwilasa), Mara (Christopher Sanya) na wenyeviti wa CCM wilaya. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa …

Lema: Nitawakana Madiwani wa Chadema kwa Wananchi

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule katika viwanja vya Ngarenaro Jijini Arusha Leo. Wapili kutoka kushoto ni mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ,wakwanza kulia ni mbunge wa Simanjiro James OLemilya akifuatiwa na aliyeko kulia kwake ni Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro,akifuatiwa na Wema Sepetu,na wakwanza kulia ni mwenyekiti …

Benki ya NMB, Mastercard yawaingiza wakulima kidijitali

    BENKI ya NMB imesaini makubaliano na Kampuni ya Mastercard kufanya kazi kiushirikiano ili kuhakikisha inaiinua sekta ya kilimo nchini Tanzania kwa kuanzishwa kilimo mtandao ‘eKilimo’ kinaomuwezesha mkulima kupata taarifa za masoko na bidhaa kuondoa urasimu waliokuwa wakiupata wakulima hapo awali. Huduma hiyo ya ‘eKilimo’, ni jukwaa la kidigitali ambalo litamsaidia mkulima kupata uwazi na usalama wa bidhaa zake …

Tanzania ya Viwanda Inaitaji Wanawake Wachapakazi – EfG

 Mjumbe wa Bodi ya EfG, akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Viwanja vya Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam.  Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Niall Morris akitoa hutuba  yake kwenye maadhimisho hayo.  Mkuu wa Dawati la Jinsia Kituo cha Polisi Chang’ombe, Mkaguzi wa Polisi, Meshack Mpwage, akihutubia kwa niaba ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke …