George Binagi @BMGHabari UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika MISA tawi la Tanzania (MISA Tanzania), umeonesha kwamba bado kuna changamoto kwenye upatikanaji wa taarifa za umma katika ofisi mbalimbali za serikali nchini. Matokeo ya utafiti huo yanaashiria kwamba bado hakuna uwajibikaji wa moja kwa moja kwenye sheria ya Haki ya kupata taarifa ya mwaka …
Ufunguzi Banda la Nafasi Art Space Chini ya Udhamini wa NMB
BENKI ya NMB Tanzania imedhamini ujenzi wa duka la Nafasi Art litakalotumiwa na watoto kujifunza mambo mbalimbali ambayo yanahusu sanaa ili kukuza vipaji walivyonavyo vya sanaa ili watakapokua waweze kuvitumia kutengeneza kipato. Akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa duka hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke alisema udhamini huo ni sehemu …
SHERIA MPYA KUTUMIKA KUKUZA MAPATO MJI WA MAFINGA
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya Mji wa Mafinga wakiwa katika baraza pamoja na wataalamu mbalimbali wa halmashauri hiyo. Na fredy Mgunda, Mafinga HALMASHAURI ya Mji wa Mafinga mkoni Iringa inatarajia kukuza mapato katika mwaka Mpya wa 2017/2018 kutokana na kuanza kuzitumia sheria mpya za ukusanyaji mapato pamoja na kuvijua vyanzo vingine vya mapato ambavyo ndio vitasababisha kukuza uchumi wa halmashauri …
NMB YAZINDUWA SIKU YA WALIMU MKOANI DODOMA
BENKI ya NMB imezindua rasmi siku ya walimu katika Mkoa wa Dodoma. Uzinduzi huo wa siku ya walimu Mkoa wa Dodoma ulizinduliwa rasmi na Afisa Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Rehema Madenge akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bw. Jordan Rugimbana. Hafla hii adhimu ilifanyika katika ukumbi wa Hazina na kuhudhuliwa na zaidi ya walimu 200 …
PROFESA MBARAWA ASAINI USHIRIKIANO WA PAMOJA WA USAFIRSHAJI
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesaini mkataba wa ushirikiano katika miradi ya pamoja inayohusu masuala ya usafirishaji na uchukuzi, lengo likiwa ni kuleta maendeleo na kukuza uchumi katika nchi wanachama. Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo mkoani Kigoma, Waziri Mbarawa amesema kuwa mkataba huo ambao unahusisha nchi ya Tanzania, Uganda, Burundi na Jamhuri …
NMB Yaipa MSD Milioni 25 Kusaidia Ujenzi Duka la Dawa kwa Jamii
BENKI ya NMB imekabidhi kiasi cha sh. Milioni 25 kusaidia Bohari Kuu ya Dawa (Medical Stores Department) katika kuboresha uendeshaji wa maduka na uendelezaji wa ujenzi wa maduka katika mikoa tofauti. Hundi hiyo ilikabidhiwa katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam, Afisa Mkuu wa wateja wakubwa wa NMB Richard Makungwa, alisema msaasa huo ni muendelezo wa mahusiano …