Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi MAOFISA Wakuu wa Jeshi la Polisi wanatarajia kukutana mkoani Dodoma kuanzia Jumatatu tarehe 27-29/03/2017 katika kikao kazi cha siku tatu kujadili na kupanga mikakati mbalimbali ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu hapa nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa …
Nape Aonja Joto ya Jeshi la Polisi, Wamzuia Kuzungumza na Wanahabari…!
ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Mnauye leo ameonja joto la jiwe la Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam baada ya kumzuia kuzungumza na vyombo vya habari alipotaka kuzungumza yamoyoni baada ya kuvuliwa nafasi yake ya uwaziri. Jeshi la Polisi lilizuia waandishi wa habari kuingia katika Hoteli ya Protea ya jijini Dar es Salaam sehemu …
WAZIRI MBARAWA AITAKA BODI YA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADILIAJI MAJENZI KUJITANUA ZAIDI Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano, Prof Makame Mbarawa akizungumza (2) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza kwenye Mkutano wa mashauriano baina ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiliaji Majenzi unaofanyika kwa siku mbili kuanzia jana, katika Ukumbi wa Rock City Mall …
Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majengo Jeshi la Polisi Wahimizwa Kupata Mafunzo
Judith Ferdinand, BMG JESHI la Polisi nchini limehimizwa kuwaruhusu na kuwawezesha wataalamu katika fani ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi waliosajiliwa, kuhudhuria mafunzo mbalimbali yanayoandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi. Wito huo ulitolewa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wabunifu Majengo Dkt. Ambwene Mwakyusa, katika ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Bodi ya Usajili wa …
Makonda ‘Amponza’ Waziri Nape, JPM Amtumbua…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri. Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na hapo hapo Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nafasi …
Bomoabomoa Nyumba Katika Hifadhi ya Reli Mivinjeni, Kurasini Yaanza
Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila. Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo. Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji Wataalamu wakipima mita 20 kutoka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya …