Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuelezea dhamira ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania mapema katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma.(Picha Zote Na Mathias Canal) Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa za Jiji La Dar es salaam wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es …
‘RC Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge’
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amehojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa saa tatu kuhusiana na tuhuma zinazomkabili. Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge. Taarifa zilizotolewa na Ofisi ya Bunge jana, zilisema Makonda aliwasili bungeni Dodoma jana saa nne asubuhi kuitikia wito wa kamati hiyo uliotokana na …
Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wachaguana Dodoma
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo ambaye kachaguliwa kuwa MUWEKA HAZINA wa Wakurugenzi nchini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Ndg Anne Claire Shija (Kushoto) ambaye kachaguliwa kuwa katibu wa Wakurugenzi nchini Na Mathias Canal, Dodoma WAKURUGENZI wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa kote nchini kwa kauli moja wameridhia na kuwachagua viongozi watakaowawakilisha katika kufikisha …
EfG Yapunguza Ukatili wa Kijinsia Soko la Mchikichini na Kisutu
Mwenyekiti wa Soko la Ilala Mchikichini, Jumanne Kongogo, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupungua vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kufanyika kampeni mbalimbali za kupinga ukatili huo zilizofanywa na Shirika la Equality for Growth (EfG) kwa kipindi cha miaka mitatu. Mwenyekiti wa Soko la Kisutu, Taminu Chande, …
RC Mtaka Amaliza Mgogoro wa Wanakijiji na Wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, Meatu MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu kati ya mwekezaji katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA) Makao iliyopo wilayani Meatu, na baadhi ya vijiji vinavyounda jumuiya hiyo. Mwekezaji huyo Mwiba Holdings, amekuwa na mgogoro wa mipaka, mkataba wa kumiliki ardhi na uanzishaji wa ranchi na baadhi ya vijiji hivyo …
Rais Magufuli Apokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Machi, 2017 amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Ripoti hiyo imewasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma …