WITO umetolewa kwa jamii ya watanzania kuacha mila potofu inayopelekea tabia ya baadhi ya wazazi kuwaficha watoto wenye matatizo mbalimbali hasa tatizo la kichwa kikubwa na mgongo wazi bali wawapeleke hospitali mapema ili wapate matibabu kwani wanaweza kupona endapo wakiwahishwa hospitali. Wito huo umetolewa na Afisa Mawasiliano mwandamizi wa Hospitali ya Mifupa (MOI) Bi. Mary Ochieng, wakati akitoa …
WLAC Waibuka na Mabonanza Kupinga Ukatili wa Kijinsia
Na Karama Kenyunko KITUO cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake (WLAC), kimeanzisha bonanza maalum la michezo kwa ajili ya kuhamasisha jamii kupinga ukatili wa kijinsia. Bonanza hilo, limefunguliwa na mratibu wa WLAC, Abia Richard jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Bonanza hilo uliofanyika Mwembe Yanga, Temek, Abia amesema lengo la kuanzishwakwa bonanza hilo ni kutaka kuwaunganisha watanzania kupambana …
Rais Makufuli Atoa Zawadi ya Pasaka kwa Vituo vya Yatima
Anthony Ishengoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 11,782,000/= kwa jumla ya vituo 9 katika Mkoa wa Dar es Salaam, 2 Zanzibar na 21 kutoka kwenye mikoa ya Tanzania Bara kwa ajili sikukuu ya Pasaka . Akikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Mhe. Rais,Kamishna wa Ustawi wa …
Rais Magufuli Aagiza TCU Kutowachagulia Vyuo Wanafunzi Elimu ya Juu
Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia vyuo wanafunzi wa elimu ya juu na kuwaacha wanafunzi hao kuchagua vyuo wanavyovitaka wenyewe. Agizo hilo limetolewa leo, Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli alipokuwa akizindua Mabweni mapya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam …
Askari Polisi Nane Waliouawa na Majambazi Kibiti Waagwa…!
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa pole kwa wafiwa. Ndugu,jamaa na marafiki wa wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya wapendwa wao. Maofisa wa Uhamiaji wakiwa kwenye shughuli hiyo. Wananchi wakiwa katika shughuli hiyo ya uagaji wa miili hiyo. Maofisa wa Polisi wakishiriki kuaga miili ya wenzao hao. Foleni ya kuaga miili hiyo. …
Taasisi ya Tree of Hope Yawakutanisha wadau na viongozi wa dini Tanga
JAMII imetakiwa kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia watoto na wazee ikiwa na pamoja na viongozi wa dini kuzitumia nafasi zao kukomesha ukatili huo. Akifungua katika mkutano wa wadau uliowashirikisha viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutoka Wilaya ya Pangani, Lushoto, Handeni na Tanga mjini kupitia mradi wa GBV, Mkurugenzi wa Tree of Hope, Fortunata Manyeresa, alisema viongozi wa …