Vyama vya siasa havipo juu ya Sheria, vinapaswa kuheshimu na kufuata Sheria za nchi; Jaji Francis Muntungi

Nimesoma na kuona katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu vurugu zilizotokea tarehe 22 Aprili, 2017 katika hoteli ya Vina, Mabibo hapa Dar es salaam, zinazosemekana kuhusisha wanachama wa CUF. Ni ukweli usiopingika kuwa, suala la mgogoro wa uongozi katika chama cha CUF lipo mahakamani, lakini nikiwa msimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa na kutambuliwa na jamii kuwa ni mlezi …

Wanawake Pentekoste Waombea Amani Tanzania

   Mwenyekiti wa Muungano wa Wanawake wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (MMPT) Misheni ya Kijitonyama,  Maines Mhama (kulia), akimkabidhi maua mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya wanawake wa kanisa hilo, Anitha Mshighati (katikati), mara baada ya kuwasili kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Kanisa la Pentekoste la Kituo cha Tabata Kisiwani Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mchungaji Ibrahim Mshighati mume …

Kariakoo Family Development Wapata Viongozi Wapya

WANACHAMA wa chama cha  Kariakoo Family Development Foundation (KFDF) wamejipatia uongozi mpya baada ya kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi siku ya Jumapili Aprili 23, 2017 katika ukumbi wa shule ya Msingi ya Jamhuri jijini Dar es salaam. Jumla ya wanachama hai na halali  41 walishirki katika uchaguzi huo, ambapo wanachama 23 walikuwepo ukumbini na wanachama 18 waishio nje ya nchi walipiga …

NMB WAZUNGUMZA NA WATEJA WAO ZANZIBAR

    BENKI ya NMB kwa kupitia tawi lake la NMB Zanzibar imeandaa hafla na kuwakusanya wateja wake wadogo na wakati ambao ni wanachama wa klabu ya biashara ijulikanayo kama “NMB Business Club” ili waweze kuzungumza nao katika ufanikishaji wa biashara zao lakini pia kutoa mafunzo ya kibishara. Hafla hiyo ambayo ilizinduliwa rasmi na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar, …

Harusi ya John Focus na Bi. Bernadetha Munishi Ilivyofana

      Bwana harusi, John Focus Lyimo (wa pili kushoto) akimtambulisha mkewe Bi. Bernadetha Munishi (wa pili kulia) kwa wageni waalikwa kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa ‘Mwenge Social Hall’ jana jijini Dar es Salaam. Waliokaa ni wapambe wa maharusi.                                

MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA

  MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighela, amesema vita ya madawaya kulevya inaendelea hivyo kuviagiza vikosi vya ulinzi na usalama kuhakikisha inawakamata vinara wa wasafirishaji na wauzaji. Akizungumza katika hafla ya fupi ya makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na Kituo cha Tanga International Comperence Centre (TICC), Shighela alisema vita ya madawa itakuwa endelevu. Alisema vijana wengi wamekuwa wakiathirika …