Mdau Neofita Kunambi akizungumza wakati akichangia mada kwenye semina hiyo. Anna Sangai akichangia jambo kwenye semina hiyo. Sadick Juma mkazi wa Mbezi Beach, akielezea changamoto ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa ya Muhimbili. Janeth Mawinza akielezea changamoto ya matibabu ya homa ya ini ambayo dawa zake hazipatikani nchini hadi zitoke India. Moses Benard …
Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Maeneo Anuai
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipitia ratiba ya hafla ya Kongomano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wqa Vyombo Vya Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Zanzibar. Mc wa Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Ndg Suleiman Seif akitowa maelezo la kongamano hilo la kuadhimisha …
Meya wa Jiji la Dar Amtembelea Mjane wa Bob Makani
Na Christina Mwagala, OMJ MEYA wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo amemtembele mjane wa aliyekuwa Mhasisi na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bob Makani , Mama Kaboga Makani ikiwa ni moja ya ziara zake za kutembelea wazee pamoja na viongozi ambao waliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya …
NEC Yaitangaza Rasmi Nafasi ya Dk. Elly Macha wa Chadema
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe. Dr. Elly Marko Macha aliyefariki tarehe 31 Machi 2017. Akitoa taarifa ya nafasi hiyo kuwa wazi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. …
YALIYOJIRI MAADHIMISHO YA ‘MEI MOSI’ VIWANJA VYA USHIRIKA MOSHI, KILIMANJARO
DONDOO ZA VIONGOZI KATIKA SHEREHE HIZO #Tunakushukuru Mhe.Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo suala la elimu bure nchini – Said Meck Sadik. #Kati ya walimu wa Sayansi 100 waliopangikiwa mkoa wa Kilimanjaro, 94 wamesharipoti – Said Meck Sadik. #Serikali ya Mkoa imekuwa ikisisitiza uanzishwaji wa mabaraza ya wafanyakazi mahala pa kazi …