TANZANIA needs to end open defecation and have all people using improved toilets, to reflect the status of a middle-income country. The Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Honorable Ummy Mwalimu (MP) and stakeholders conveyed this in Dodoma during a Call to Action event. The minister called for the national sanitation campaign, “To carry out a …
SHIRIKA LA WOTESAWA WASAMBAZA ELIMU KUTETEA HAKI ZA WATOTO
Mwanasheria na Msimamizi wa Mradi wa Uwezeshaji Shirikishi kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani nchini Tanzania, Jackline Ngallo, akiwasilisha mada kwenye semina kwa Viongozi wa serikali za mitaa kutoka wilaya za Nyamagana na Ilemela mkoani Mwanza. Semina hiyo ya siku tatu, kuanzia jana Mei 09 imewashirikisha Madiwani, Watendaji wa Kata, Maafisa Maendeleo na Ustawi wa Jamii, Wenyeviti wa Mitaa na …
PROF MBARAWA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI RWANDA
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameondoka nchini leo kwenda Kigali Rwanda, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye mkutano wa siku mbili wa “Transform Africa Summit 2017,”. Mkutano huo utawakutanisha viongozi na wataalam mbalimbali Barani Afrika kwa lengo la kujadili masuala kadhaa ikiwemo maendeleo ya Teknolojia ya Habari na …
Katibu wa NEC CCM Zanzibar Awataka Wanachama Kutumia Fursa ya Uchaguzi
Na Is-Haka Omar, Zanzibar KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar, Waride Bakari Jabu amewataka wanachama wa CCM Tawi la Chukwani kutumia vizuri fursa ya Uchaguzi wa Chama kuwachagua viongozi na watendaji waadilifu na wasioyumbishwa wakati wanapotekeleza majukumu. Rai hiyo aliitoa wakati akizungumza na wanachama na Kamati ya siasa ya Tawi la Chukwani katika …
Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!
JIJI la Arusha na viunga vyake leo limezizima kwa manjozi wakati miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na Dereva wao mmoja wote kutoka shule ya Lucky Visent ilipoagwa rasmi kitaifa kabla ya mazishi yao. Hali hiyo ya majonzi na maombolezo imetawala Tanzania nzima tangu kutokea kwa taarifa hizo za kusikitisha zilizomgusa kila mmoja. Kwa mara ya kwanza idadi kubwa …
NBS: Mfumuko wa Bei ya Bidhaa Tanzania ‘Wang’ang’ania’ 6.4%
Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wanahabari wakichua taarifa hiyo. Na Dotto Mwaibale MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka umebaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Sensa za watu na takwimu wa Ofis ya Taifa ya Takwimu,(NBS), Ephraim Kwesigabo, alisema hii inamaanisha kuwa kasi …