AKIZUNGUMZA na waandishi wa habari Mratibu wa Mkutano Mkuu Kivuli wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa, Tajiel Urioh alisema mkutano huo ni maigizo ya vitendo ya baraza kuu la Umoja wa Mataifa ambapo vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 30 kutoka sehemu mbalimbali wanapata fursa ya kujifunza Diplomasia, Uongozi na namna Umoja Wa Mataifa unavyofanya kazi. Bw. …
MUHAS WATAKIWA KUWEKA MAKAZI YA KUDUMU OLOLOSOKWAN
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo mkubwa katika tiba mtandao. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya wakati akifunga warsha ya siku 2 ya tiba mtandao iliyofanyika chuoni hapo. Warsha …
TGNP Yaichambua Bajeti ya Elimu, Yadai Haijatoa Kipaumbele kwa Mtoto wa Kike
Wadau wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea. Uchambuzi wa bajeti hiyo ukiendelea. Mzee Hamisi Katumwa akichangia jambo kwenye mkutano huo. Mdau Msafiri Mtakatifu akichangia jambo. Mdau Wilfred akichangia jambo kuhusu bajeti hiyo. Bi. Ester Tibaigana akichangia jambo. Muonekano wa chumba cha mkutano huo wakati wa uchambuzi wa bajeti hiyo. Bi. Marytaus Mbawala akichangia mada. Na Dotto Mwaibale MTANDAO …
Trust Care Tanzania, TTCL Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Vyuo Vikuu
SHIRIKA la Trust Care Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wameandaa semina ya kuwajengea uwezo wa kifikra wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya jijini Dar es Salaam ikiwa na lengo la kuwabadili wanafunzi kwa ujumla kuwa na mawazo chanya yatakayowawezesha kutumia fursa anuai zinazowazunguka katika jamii mara baada ya masomo yao. Akizungumzia semina hiyo …
Tigo yazindua kampeni ya ‘Jaza Ujazwe’ kuwashukuru wateja
Mtaalamu wa kubuni Ofa kutoka kampuni ya simu za mkononi ya TIGO Jacqueline Nnunduma akijibu maswali kwa waandishi wakati wa uzinduzi wa kifurushi cha Jaza Ujazwe (katikati) Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga na mwishoni ni Meneja Mawasiliano ya Umma wa Tigo Woinde Shisael. KAMPUNI inayoongoza mfumo wa maisha ya kidijitali, Tigo Tanzania imezindua kampeni nyingine mpya ya kuvutia …
TIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi-Muhimbili, UNESCO pamoja na wadau wengine. Hayo yalisemwa katika warsha ya siku mbili ya kujadili na kuiangalia dhana ya tiba mtandao na namna ya kuitekeleza. Kwa mujibu wa …