RC Gambo Awaonya Wanasiasa Tukio la Vifo vya Wanafunzi 32 Lucky Vicent

    Mwakilishi kutoka Dar es Salaam Independent School (DIS) Anna Msangi (katikati) akiwa anakabidhi kiasi cha shilingi milioni tatu kwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ikiwa ni mchango wao kwa wanafunzi wa Lucky Vicent. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akifafanua jambo ofisini kwake kabla ajapokea rambirambi hizo.    Na  Woinde Shizza, Arusha MKUU wa Mkoa wa …

Rais Museveni, Magufuli Wasaini Utekelezaji Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, leo tarehe 21 Mei, 2017 wametia saini tamko la pamoja (Communiqué) la kukamilika kwa majadiliano ya vipengele vya mkataba ambao utasainiwa baadaye kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini …

WANANCHI DONGE WAISHAURI CCM KUTAFUTA UFUMBUZI MGOGORO WA UCHIMBWAJI MCHANGA

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR BAADHI ya Wazee wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na wamiliki wa mashamba ya kuchimbwa rasilimali ya mchanga Jimbo la Donge Wilaya ya Kaskazini “B” wamekishauri Chama hicho kuingilia kati mgogoro wa serikali kuwazuia wananchi wasichimbe mchanga katika maeneo ya wilaya hiyo. Ushauri huo wameutoa kwa nyakati tofauti mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. …

Trust Care Tanzania Foundation yawanoa wanafunzi vyuo vikuu Dar

      MKURUGENZI Mtendaji wa Trust Care Tanzania Foundation, Zambert Mbwafu alisema semina hiyo ni maalum kwa wanafunzi waliopo vyuoni kwa ajili ya kuwajengea uwezo. Alisema mada zilizotolewa ni pamoja na Umuhimu wa Kujiamini na Kujijengea Uwezo, Uwezo wa Uthubutu, Vipaji na Jinsi ya Kuviendeleza, Maadili na Nidhamu katika Kazi na Ubunifu katika Kufikia Malengo. Kwa upande wa wadhamini …

Naibu Waziri Ngonyani Awataka Makandarasi Barabara ya Mafinga-Igawa Kuongeza Kasi

      NAIBU Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani amemtaka mkandarasi China Civil Engeneer Construction Cooporation (CCECC), anayejenga barabara ya Mafinga-Nyigo km 74.1 na (CRSG) anayejenga sehemu ya Nyigo –Igawa KM 63.8 kuongeza kasi ya ujenzi ili upanuzi na uimarishaji wa barabara hiyo ukamilike kwa wakati. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi huo Eng. Ngonyani amemtaka Meneja …

Dk Mwakyembe Azinduwa ‘Serengeti Premium Lite’ Bia

        WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwakilishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leah Kihimbi amezinduwa bia mpya ya Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL), inayojulikana kama ‘Serengeti Premium Lite’. Akisoma hotuba ya Waziri Mwakyembe katika uzinduzi huo, Bi. Kihimbi alisema wizara inaipongeza …