Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika: Viongozi wa Dini Wakemea Ukatili

      VIONGOZI wa Dini wamekemea vitendo vya ukatili kwa watoto na kwani vimekemewa hata katika vitabu vya dini, huku wakimtaka kila mmoja kumlinda mtoto pamoja na kueneza elimu ya malezi. Viongozi hao walioshiriki katika mkutano wa vyombo vya habari ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Jumuiya ya …

UWT Zanzibar Yawataka Wanawake Kuchangamkia Fursa

  Na Is-Haka Omar, Zanzibar UMOJA wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umewataka wanawake kuchangamkia fursa za Uongozi wa ngazi mbalimbali kupitia uchaguzi unaondelea hivi sasa ndani ya Chama na jumuiya zake. Wito huo umetolewa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja huo Zanzibar, Bi.Tunu Juma Kondo katika mwendelezo wa ziara ya UWT ya kuzungumza na Viongozi wapya wa ngazi …

Save the Children yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika Dar

      SHIRIKA la Save the Children nchini limeadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kukutana na Watoto mbalimbali wa shule za Msingi na Sekondari za Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam. Katika maadhimisho hayo Walimu na Maafisa wa Ustawi na Maendeleo ya Jamii walishiriki na kuchangia mijadala iliyoibuliwa na watoto wenyewe kuhusu malengo ya usawa na …

Makonda Kuliongezea Nguvu Jeshi la Polisi Dar Kuhimarisha Ulinzi

   Na Mathias Canal, Dar es salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda Jana June 14, 2017 wakati wa Hafla ya kukabidhiwa magari mabovu 26 ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya kuyatengeneza aliyataja mambo manne ambayo ameamua kuyafanya ili kuliongezea nguvu Jeshi la polisi katika kukabiliana na uhalifu.Mambo hayo ni Kama ifuatavyo: 1. Ameamua Kufanya mchakato wa …

UNIC Yakutana na Wanafunzi Mbalimbali Kujadili Mkutano wa Bahari

                    KITUO cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) leo kimekutana na baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali na vijana kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano wa Mkubwa wa Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini, New York kuanzia Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa Bahari. …