Hiki ni kivuko muhimu sana katika mustakabali mzima wa kuwaunganisha wakazi wa Kigamboni, ambao wapo kisiwani na wale wa mjini, yaani nchi kavu.
Dr. Ramadhani Dau has been elected member of the Governing Bureau of the Geneva-based International Social Security Association (ISSA).
The Secretary General of the International Social Security Associations (ISSA) Mr. Hans-Horst Konkolewsky (l) congratulates Dr Dau for being elected a member of the Governing Bureau of the organization at a brief function at the Cape Town International Conference Centre yesterday. During the short meeting between the two, the ISSA Secretary General confered the honour to Tanzania to host the …
WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA VIETNAM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara wa Vietnam, Le Duong Quang (kulia) kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dars salaam Decemba 2, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mh Mbilinyi a.k.a mr ii Akabidhiwa Ofisi haina hata Kigoda
MBUNGE wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi, ameanza kukumbana na machungu ya uongozi baada ya kukabidhiwa ofisi ambayo haina samani ndani yake.
Mama Salma Kikwete atimiza miaka 47 JK Acharaza gitaa kumpongeza.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akilicharaza gitaa wakati alipowaongoza wanafamilia nyumbani kwake kumpongeza mkewe Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 47 jana.Picha na freddy Maro.
TANESCO waanzisha blogu kwa mawasiliano
Haya wajameni, hatimaye TANESCO wamefungua blogu kwa ajili ya mawasiliano ambao anwani yao ni umemeforum.blogspot.com na ujumbe wa utangulizi katika blogu hiyo unasema: Blogu hii ni kwa ajili ya wadau mbalimbali wa umeme wa ndani na wa nje ya Shirika la Umeme Tanzania