SIRI ZA ANAYEJIDAI KUMILIKI DOWANS

-Ni Mzanzibari aliyetorokea Uarabuni -Ana mahekalu jirani na vigogo Zanzibar  -Kuna utata kuhusu deni la Bil.100/- na rehani ya mitambo  WAKATI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likielezwa kuanza kuwasha mitambo ya Dowans, mmiliki wa kampuni hiyo aliyezua utata, Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi, ni Mzanzibari aliyeukana uraia wake baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, Raia Mwema limeelezwa.  Habari …

UUNGWANA NI VITENDO: VODACOM YAFARIJI WAHANGA WA MABOMU!

 Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Bi Mwamvita Makamba pamoja na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha na kuwakabidhi vyakula mbalimbali wafanyakazi wa Red Cross waliopo katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kutoa huduma kwa waathirika wa janga la milipuko ya mabomu huko Gongo la Mboto jijini Dar. Picha na habari kwa hisani ya Michuziblog

BOMU LA CHADEMA KWA PINDA HADHARANI.

SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hiyo inatokana na taarifa ya kuwa kauli ya Waziri Mkuu Pinda ya wiki iliyopita iliyokituhumu CHADEMA kuhusika na vurugu hizo zilizoishia katika mauaji ya watu watatu, ilitokana na maoni ya Polisi ambao katika matukio hayo wao ni …

MABOMU GONGO LA MBOTO: WATU 200 WAJERUHIWA,20 WAPOTEZA MAISHA

Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa tarehe 16 mida ya saa mbili na dakika ishirini ulianza kusika milio ya mabomu kutoka katika gara la siraha lililopo katika kambi ya jeshi ya gongo la mboto,aidha yapata zaidi ya watu 20 kupoza maisha ikiwa zaidi ya watu 200 wamejeruhiwa na mabumu na wengine wameumia wakati wakijinusur na mkasa huo.