*Yaomba ikabidhiwe mgodi izalishe umeme megawati 500 *Italipa madeni ya bilioni 28/-, mishahara ya watumishi wote *Tanpower kikwazo kwa hisa 70%, wizara yaweka kauzibe *Zito: Mkopo wa kujenga nyumba za Jeshi usitumiwe Kiwira SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limejitosa katika mradi mkubwa wa kuzalisha umeme nchini kwa kuonyesha nia ya kununua Mgodi wa Makaa ya Mawe wa …
Nyumbani kwa babu wa Loliondo kulivyofurika
Nyumbani kwa babu wa Loliondo kulivyofurika
VOICE FOR DEMOCRACY AND HUMAN RIGHTS CENTRE KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA TANZANIA.
Rais wa Taasisi ya Voice For Democracy And Human Rights Centre nchini Bw. Hashim Rungwe akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu taasisi yake itakavyotoa elimu pamoja na kukusanya maoni ya wananchi Tanzania kuhusu mchakato wa marekebisho ya katiba ya Tanzania. (Mwengine) ni katibu mkuu wa Voice For Democracy And Human Rights Centre Mwl. Richard Mfune. Picha na habari …
Serikali Yampiga ‘Stop’ Babu Wa Loliondo
Serikali Yampiga ‘Stop’ Babu Wa Loliondo
Dawa ya maajabu yazidi kuvuta wengi Loliondo
Na Mwandishi Wetu, Loliondo MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ambilike Mwasapile amesema licha ya umati wa watu kuendelea kufurika nyumbani kwake ataendelea kutoa dawa hiyo kwa wagonjwa kadri wanavyokuja. Hadi jana takribani watu zaidi ya 3,000 walikuwa wakiendelea kufurika nyumbani kwa mzee huyo anayedaiwa kuwa na dawa aliyooteshwa na Mungu ambayo inatibu magonjwa matano sugu kwa …