Na Joachim Mushi Mwanza SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limesema litaanza kuzalisha umeme muda mfupi baadaye na kuliuzia Shirika la Ugavi wa Umeme nchini ili kuchangia kupunguza kero ya nishati hiyo nchini, inayoendelea hapa nchini. NSSF imesema tayari imemuweka mkandarasi ambaye anafanya utafiti wa kitaalamu kuangalia ni eneo gani linafaa kufungwa mitambo ya shirika hilo itakayozalisha umeme …
‘Hakuna uhaba wa Sukari Tanzania ’
Na Joachim Mushi Kagera MENEJA Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera, Ashwin Rana amesema hakuna upungufu wowote wa bidhaa hiyo nchini, kwani kiwanda hicho pamoja na kile cha Mtibwa kina akiba ya kutosha kusambaza nchini. Amesema Kiwanda cha Sukari cha Kagera na kile cha Mtibwa (Mtibwa Sugar) ambavyo vyte ni vya mmiliki mmoja vina akiba ya bidhaa hiyo iliyoko …
RC aiomba NSSF kuwekeza zaidi Bukoba
Na Joachim Mushi Bukoba MKUU wa Mkoa wa Bukoba, Mohamed Babu ameliomba Shirika la Hifadhi ya Jamii la Taifa (NSSF) kuwekeza zaidi katika mkoa huo kwani kwa sasa kuna miundombinu ya kuvutia wawekezaji tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Babu aliyasema hayo juzi alipotembelewa na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya shirika hilo ililofanya ziara katika mkoa huo kutembelea miradi inayoendeshwa …
Loliondo ni kivumbi
*Wabunge washindana kupeleka wapigakura kwa mabasi *Mratibu Ukimwi Mkoa asalimisha wafanyakazi kwa Babu *Sheikh ataka Waislam wakapate kikombe kwa Mchungaji *KKKT wafungua akaunti kwa ya kuboresha miundombinu SIKU chache baada ya mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na wa Moshi Mjini (CHADEMA), Philemon Ndesamburo kusafirisha wapigakura wao kwenda Loliondo kupewa kikombe, sasa wabunge wanashindana kupeleka wapigakura wao. Mbunge wa Arusha …
Mbunge atoa milioni 6.5/- kwa waathirika
MBUNGE wa Igunga, Rostam Aziz ametoa pole ya Sh milioni 6.5 kwa wananchi walioathiriwa na mvua kubwa wilayani hapa WAATHIRIKA wa mwishoni mwa wiki iliyopita. Janga hilo lilisababisha kaya 66 kukosa mahali pa kuishi katika kitongoji cha Hani wilayani hapa. Mbunge huyo alikwenda kuwatembeloea waathirika hao katika zahanati ya Kata ya Igunga jana. Alisema alitoa fedha hizo kwa kaya 13 …
Daktari: Mgonjwa Loliondo amepona Ukimwi
DAKTARI Joachiam Mbosha wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Ngorongoro ya Wasso, amethibitisha kuwa mmoja wa wagonjwa wa Ukimwi aliyekwenda kutibiwa kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapile, maarufu kwa jina la ‘Babu’, huko Samunge, Loliondo amepona Ukimwi. Wilia John Lengume (30), juzi alikuwa kivutio kwa mamia ya watu baada ya kutangazwa na Mchungaji Mwasapile kwenye ibada iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la …