Seasoned and veteran journalist, Adam Lusekelo (54) passed away while being rushed to Muhimbili National Hospital (MNH) on Thursday night, his wife Scolastica Lusekelo, said. Ms Lusekelo said the deceased’s health deteriorated on Thursday night when relatives rushed him to MNH. “He didn’t even reach the hospital, he breathed his last on the way at around 11pm,” Ms Lusekelo said. …
JK AFANYA MAZUNGUMZO NA KOFI ANNAN
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na katibu mkuu wa zamani wa Umoja Wa Mataifa, Kofi Annan Ikulu jijini Dar Es Salaam. Source: Michuzi Blog
HUYU NI YULE MH.KOMBA ANAYELALA BUNGENI?
Yaani Mh. Komba angekuwa anafuatilia miswada Bungeni kwa umakini kama anavyofuatilia hapo…..Mbona tungekuwa mbali. Kuweka kumbukumbu sahihi, embu angalia picha ya chini jinsi Mheshimiwa huyu alivyouchapa usingizi.
MAKAMU WA RAIS AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. DK. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika vazi la Mgolole la heshima na uongozi la kabila la Muarusha (Masai) alilokabidhiwa na wananchi wa wilaya ya Arusha, alipowasili kwenye uwanja wa kijiji cha Terrat Nadosollo kwa ajili ya kuhutubia wananchi. Makamu wa Rais amekamilisha ziara yake ya siku nne ya kukagua …
Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi amkataa hakimu
NA Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu na Meneja Utawala na Fedha, Grace Martin, wamewasilisha ombi la kumkataa hakimu anayesikiliza kesi yao ya uhujumu uchumi ya kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya sh bilioni 2. Kesi hiyo iliyoko katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana washitakiwa hao walitakiwa kuanza kujitetea, lakini kabla ya jambo …
CCM waijibu Chadema, watoa kauli nzito
Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimejibu hoja zilizoelekezwa kwao na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hivi karibuni baada ya kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichomalizika hivi karibuni. Wakijibu hoja hizo, CCM imesema kwamba isingependa kufanya majibizano na CHADEMA kwa kuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wana kazi nyingi za kufanya kutekeleza ilani ya chama ilhali CHADEMA …