Nape amjibu Mpendazoe kuhusu waanzilishi wa CCJ

Na Edson Kamukara KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, Nape Mnauye, ameendelea kukanusha madai ya kuhusika na uasisi wa Chama Cha Jamii (CCJ), akisema anayetaka kuwajua waasisi, aende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa. “Iko Mamlaka ya kuelezea nani ni nani katika kila chama cha siasa hapa nchini na anayetaka kuwajua waasisi wa CCJ …

TAARIFA KWA UMMA

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amesema kuwa amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa kikundi cha maigizo na filamu cha Jakaya Theatre Arts. Mnyika aliyasema hayo jana (15/05) alipotembelea nyumbani kwa familia ya marehemu katika kata ya Ubungo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuwasilisha rambirambi. Akizungumza na mbunge, Chediel Senzighe ambaye ni kaka wa marehemu …

Mume amchinja mkewe kama ‘kuku’

Na Said Mwishehe Dodoma MWANAUME aliyefahamika kwa jina la Lucas Makomela (55) amefanya mauji ya kutisha baada ya kumchinja mkewe, Josephina Tatu (42) kisha naye kuamua kujinyonga. Akizungumzia tukio hilo jana, mjini hapa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Zolothe Stephen alisema tukio hilo la mauji limetokea usiku wa kumkia jana katika kijiji cha Nala. Alisema Makomela ambaye ni mkulima …

JK akiwasili nchini Uganda

Rais Jakaya Kikwete amewasili nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni zinazofanyika Uganda leo. Museveni anaapishwa baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Februari mwaka huu na kumshinda mpinzani wake mkuu Kizza Besigye. Pichani juu ni Rais Jakaya Kikwete akipokelewa kwa maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe …

Nahodha azungumzia Wazenji kuchoma mabanda ya Wabara

Na Said Mwishehe Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amesema kubomolewa kwa mabanda 73 ya wafanyabiashara mjini Unguja Zanzibar ni uvunjifu wa sheria hivyo atahakikisha sheria kali zinachukua dhidi ya watakaohusika. Nahodha amesema haamini kama tukio hilo lina uhusiano na mambo ya kisiasa ama ubaguzi, hivyo kuomba viachiwe vyombo vya sheria ili viweze kutekeleza majukumu …