Na Mwandishi Wetu MNAJIMU maarufu nchini Tanzania, Sheikh Yahya Hussein (89) amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jana Dar es Salaam zinaeleza kuwa kifo cha mtabiri huyo kimesababishwa na maradhi ya moyo yaliokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu sasa. Mtabiri huyo enzi za uhai wake akitabiri mambo anuai jambo ambalo lilimjengea umaarufu, kiasi kwamba iliwahi …
Shekh Yahya Hussein afariki dunia Dar
Na Mwandishi Wetu Mtabiri maarufu nchini Tanzania, Shekh Yahya Hussein amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Mtabiri huyo ambaye huenda amejitabiria kifo hicho amefariki leo osipitalini kwa presha katika Hospitali ya Mkombozi eneo la Moroco Dar es Salaam. Hivi karibuni mtabiri huyo alitabiri kuwa wafanyabiashara maarufu watatekwa na kushikiliwa hivyo kuwataka wote nchini kuwa makini katika shughuli zao. Hata …
Mmiliki CCJ amlipua Mpendazoe
Na Said Mwishehe MMILIKI wa Chama Cha Jamii(CCJ) Richard Kiyabo ameamua kuvunja ukimya na kutaja majina ya waalinzishi wa chama hicho huku akitumia nafasi hiyo kumshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Fred Mpendazoe kuwa anatabia ya kukurupuka na kumtaka aache siasa za udaku. Amesisitiza kitendo cha Mpandazoe kumtaja Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, Waziri wa …
Mwekezaji Marekani kuinunu mitambo ya Dowans
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya kuzalisha umeme nchini Marekani, ‘Symbion Power’ inafanya mazungumzo ya mwisho kuinunua mitambo ya Dowans ambayo sasa kwa muda imekuwa haifanyi kazi kwa muda sasa tangu izimwe kwa mara ya mwisho. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na baadhi ya wawekezaji jijini Dar es Salaam mazungumzo yanafanywa kwa muda sasa Dar es Salaam kati ya mmiliki wa …
Ajali ya kutisha, 15 wafa, 67 wajeruhiwa
Na Mwandishi Wetu Geita WATU 15 wakiwemo watoto wawili, askari polisi mmoja wa jijini Mwanza wamepoteza maisha na wengine 67 kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Sheraton lenye namba T 268 AJC na basi la Bunda Expres namba T 810 BDW baada ya kugongana uso kwa uso eneo la Kijiji cha Chibingo Wilaya ya Geita mkoani …
SHIBUDA AMWAGA CHECHE!!
Na Mwandishi Wetu Mwanza MBUNGE wa CHADEMA jimbo la Maswa Mashariki John Shibuda amesema CCM haikujivua gamba bali uzalendo baada ya kuuza nchi kwa mikataba mibovu na kuwaacha Watanzania wakiteseka kwa umasikini na huduam mbovu za jamii..