Mh Dr. Manmohan Singh, ambaye ni waziri mkuu wa India anatarajiwa kutua Bongo muda si mrefu (Tafadhali, rejea taarifa yetu ya awali) kwa shughuli maalum. Nilipoona picha hii nikastuka kidogo, na kujiuliza itakuwa aje siku ya kutua Bongo halafu anarudia ishara yake ya vidole viwili kama tuonavyo hapo kwenye picha? Nafikiri itakuwa kama Waingereza wasemavyo “Very Interesting!” Wewe unaona imekaa vipi hii?
TAWLA kusaidia wanawake, watoto kisheria
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dar es Salam Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimeahidi kuendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto wengi wanaokandamizwa pindi wanapokuwakidai haki zao za msingi ili kujenga jamii inayozingatia haki na usawa kwa jamii yote. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa TAWLA Marie Kashonda wakati akiongea na waandishi wa habari …
Mawakala Morogoro kuishtaki Serikali
Na Mwandishi Wetu Morogoro MAWAKALA wa pembejeo wanakusudia kuiburuza mahakamani Serikali mkoani Morogoro kwa kile kushindwa kulipa deni la zaidi ya sh. bilioni 3, gharama ambazo zilitumiwa na mawakala hao kusambaza pembejeo msimu wa kilimo wa 2009/10 na 2011/12. Hatua hilo imepitishwa juzi mara baada ya kumalizika kwa kikao cha mawakala hao kilichokaa kutafuta ufumbuzi wa madeni ambayo wamekuwa wakiidai …
Warusi waonesha nia kuwekeza Tanzania
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Shaaban Mwinjaka amewataka wawekezaji wenye nia njema kuja nchini na kushirikiana na wazalendo katika kutumia fursa mbali mbali zilizopo nchini kwa faida na maendeleo ya pande zote mbili. Dkt Mwinjaka ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam, katika mazungumzo mafupi kati yake na ujumbe wa wawekezaji kutoka nchini Urusi wenye nia …
Waziri Mkuu wa India kuja Tanzania
TAARIFA KWA MHARIRI Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Manmohan Singh amekubali mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kutembelea Tanzania wiki ijayo. Mheshimiwa Singh amekubali mwaliko huo katika barua yake aliyomwandikia Rais Kikwete na iliyokabidhiwa kwake na Balozi wa India katika Tanzania, Mheshimiwa K.V. Bhagirah wakati Balozi huyo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais …
Taratibu za kuvuna Sao Hill zawekwa wazi
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA TARATIBU ZINAZOFUATWA KATIKA UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU KWENYE SHAMBA LA SAO HILL Wizara ya Maliasili na Utalii inatoa ufafanuzi kuhusu taratibu zinazofuatwa katika uvunaji wa mazao ya misitu katika shamba la miti la Saohill. Baadhi ya magazeti ya tarehe 19 Mei 2011 yaliandika kuhusu uvunaji wa …