Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Waziri Mkuu wa India, Mama Gursharan Kaur ametoa msaada wa sh. milioni 15 kwa Taasisi ya Wanawake na Maendeleoo (WAMA) fedha ambazo zitatumika katika shughuli mbalimbali za kuwasaidia watanzania zinazofanywa na taasisi hiyo. Msaada huo umetolewa leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam wakati mama Kaur alipoitembelea taasisi hiyo inayoongozwa …
India yaahidi kuisaidia Tanzania teknolojia
Na Joseph Ishengoma – MAELEZO SERIKALI ya India imeahidi kuisaidia Tanzania katika nyanja ya teknolojia ili kuongeza uzalishaji katika mazao ya kilimo. aidha, India imekubali kusaidia uimarishaji wa viwanda vidogo vidogo na kutoa mafunzo ya kitabibu kwa watanzania hasa katika magonjwa ya moyo, kansa na figo. Rais Jakaya Kikwete amewaambia waandishi wa habari Ikulu jijini Dar Es Salaam kuhusu makubaliano …
Madiwani Dodoma wataka kujiondoa NHIF
Na Joyce Kassiki Dodoma BAADHI ya madiwani wa Halmashauri ya Kongwa wametishia kujiondoa kwenye mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa baada ya kutoridhishwa na utaratibu uliowekwa na Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF). Wakizungumza kwenye semina kabla ya kuanza kwa kikao cha madiwani katika Halmashauri hiyo, madiwani hao walidai utaratibu wa mfuko huo ni mgumu kutokana na kutoza fedha …
Mahakama yaamuru Mbowe, Dk Slaa, Ndesamburo wakamatwe
Na Janeth Mushi Arusha MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha imetoa amri ya kukamatwa kwa watuhumiwa nane (8) pamoja na wadhamini wao, wakiwemo Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe na Dk. Willbrod Slaa kisha kufikishwa mahakamani hapo wakati wowote. Viongozi wengine ambao nao wanatakiwa kukamatwa ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Mbunge wa Jimbo …
Waliotafuna fedha za miradi wamtisha maisha DC
Na Mwandishi Wetu Bagamoyo MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Magesa Mulongo, ameanza kupata vitisho kutoka kwa baadhi ya watumishi ambao ameagiza wakatwe mishahara kufidia fedha za miradi ya maendeleo ambazo zimeliwa chini ya usimamizi wao. Mkuu huyo alisema hayo jana mjini hapa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, na kuomba kamati hiyo isaidie ili walio kula …
Mwaka wa kimataifa wa Kemia
Na Maulid Kapolo WAZIRI wa mawasiliano, sayansi na teknolojia Profesa Makame Mbarawa amewataka walimu, wazazi pamoja na jamii kwa ujumla kuwahamasisha na kuwashawishi wanafunzi kuanzia ngazi ya chini kupenda masomo ya sayansi hususani kemia. Taarifa hiyo ilitolewa jana, Dar es Salaam na Profesa Mbarawa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya masomo ya sayansi nchini katika uzinduzi wa …