Muandishi Mmarekani akamatwa Tarime, ahukumiwa kifungo!

RAIA wa Marekani Joycelin Tembi Edward (27) aliyekamatwa wilayani Tarime katika vurugu zilizotokana na mauaji ya watu walioingia kwa kuvamia Mgodi wa North Mara Barrick amehukumiwa jela kutumikia kifungo cha mwaka mmoja. Mmarekani huyo ambaye ni Mwandishi wa Habari wa gazeti la Toronto Canada, alihukumuwa kutumikia kifungo cha mwaka au kulipa faini faini y ash. 50,000 kutokana na kubainika kuwa …

Sekondari Tosamaganga Iringa kwachafuka mabomu

Wanafunzi wa Sekondari ya Tosamaganga wakikimbia moshi ya mabomu yaliyokuwa yakipigwa na polisi. Polisi wakiwa wamewaweka chini ya ulinzi wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tosamaganga eneo la Kitwiru nje kidogo na Manispaa ya Iringa hapo ilikuwa ni kabla ya kuanza kupiga na kurusha mabomu ya machozi.Wanafunzi wa Sekondari ya Tosamaganga wakikimbia moshi ya mabomu yaliyokuwa yakipigwa na polisiMwandishi wa …

Neema wasafiri Ziwa Victoria, Serikali kununua meli mpya

Rais Jakaya Kikwete amesema kwa sasa wataalamu washauri wa kupatikana kwa meli hiyo, yaani Kampuni ya OSK-Ship Tech ya Denmark, tayari wamekamilisha upembuzi yakinifu juu ya aina ya meli inayofaa kwa matumizi katika Ziwa Victoria. Rais Kikwete amesema kuwa fedha za ununuzi wa meli hiyo zitatengwa katika Bajeti ya Serikali ya mwaka 2012/2013 baada ya kuwa maandalizi yote ya ununuzi …

Je, wajua Vuvuzela lina madhara makubwa?

      VUVUZELA chombo kilichotumika kwa kushangilia hasa na mashabiki wa soka kwenye Kombe la Dunia la soka mwaka 2010, si tu kinachafua mazingira kwa kelele, wataalamu wanadai chombo hicho kinaweza kusababisha maradhi kiafya mpulizaji. Inaeleza kwamba upulizaji kidogo tu wa Vuvuzela mfanya mpulizaji atokwe na mate mengi sawa na yanayotoka wakati mtu akipiga chafya, tena yenye uwezo wa …

Basi la Sumry laua 13 kwenye ajali Mbeya

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya AJALI mbaya ya basi la kampuni ya Sumry lililokuwa linatoa huduma ya usafiri kutoka Arusha kuelekea mkoani Mbeya iliyotokea eneo la Igawa mpakani mwa Mbeya na Iringa imeua watanzania 13 papo hapo na wengine watatu kufia katika hospitali ya wilaya ya Mbarali na wengine 9 kujeruhiwa miili yao. Ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo aina …

PINDA: TUNAHITAJI KUBAINI KILIMO CHA UMWAGILIAJI KINACHOTUFAA

Na Irene Bwire WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema kilimo cha umwagiliaji kitainua uzalishaji wa chakula nchini lakini inabidi Serikali ijipange kubaini ni aina gani ya teknolojia inahitajika katika kilimo hicho. Ametoa kauli hiyo Mei 27, 2011 akizungumza na ujumbe wa kampuni ya Jain Irrigation Systems Ltd kutoka India, alipokutana nao ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo ina …