KUKAMATWA MBOWE; UPINZANI WATOA KAULI NZITO

  Kiongozi Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. AMRI YA KUMKAMATA KIONGOZI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI YAINGILIA UHURUWA BUNGE, YAHATARISHA DEMOKRASIA!!!  Dar es Salaam, Juni 3, 2011: Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imepokea kwa mshtuko, masikitiko na mshangao mkubwa taarifa za Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Arusha kutoa amri ya …

WATU wanne (4) wamepoteza maisha – Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha WATU wanne (4) wakiwemo wanafunzi watatu wamepoteza maisha huku wengine 11 wakinusurika kifo katika ajali iliyohusisha pikipiki namba T 992 BPB aina ya Toyota na gari la abiria aina ya Toyota Hiace. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Akili Mpwapwa,alisema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi Mei2 mwaka huu …

NAPE amuanika Marando mkutanoni Mpanda

  Na Mwandishi Wetu, Mpanda KATIBU wa Itikadi na Uenezi Taifa (CCM), Nape Nnauye amedai kunasa barua za Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na wakili maarufu nchini Mabere Marando akikana kuwaambia Watanzania kuwa naye alifaidika na fedha za Mfuko wa Madeni ya Nje (EPA). Amesema kutokana na kuupata ushahidi wa nyaraka hizo, anamtaka Marando kuchagua kufanya siasa au kuendelea …

Tanzania: Population to Hit 82 Million By 2050 – Oxfam

A billion people go to bed with empty stomachs every night globally, Tanzania included, not because there isn’t enough food, but because of great imbalances in opportunities and control of resources.According to a report launched by Oxfam Tanzania, by 2050 Tanzania will have a population of 82 million, thus quick reforms are paramount in preventing hunger. The report, whose theme …

TANAPA yatakiwa kuilipa TBC mil 52.2/-

    Benjamin Sawe – Maelezo Dar es Salaam KAMATI ya Bunge ya Hesabu ya Mashirika ya Umma imeliagiza Shirika la Taifa la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kulipa deni la sh. milioni 52.2 linalodaiwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) ikiwa ni deni la matangazo ya shughuli za shirika hilo. Uamuzi huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Zito …

Utapeli waendelea kwa ‘Babu’ Loliondo

    Na Janeth Mushi,  Thehabari  Arusha  SERIKALI mkoani hapa imetoa onyo kali kwa baadhi ya watu  wanaoghushi mihuri ya vibali vya magari yanayopeleka wagonjwa kijijini Samunge kwa Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila  na kuviuza kinyume cha kanuni na sheria. Onyo hilo limetolewa leo na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha kufuatia …