Mama Salma: Walimu anzisheni vikundi vya kujisomea

Na Anna Nkinda – Maelezo WALIMU nchini wametakiwa kuanzisha vikundi vya kujisomea kwa wanafunzi ili watoto hao wawe na tabia ya kupenda kusoma ambayo itawasaidia kutotumia muda wao vibaya na kujiingiza katika tabia hatarishi zilizopo ndani ya jamii. Wito huo umetolewa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akifungua mradi wa asante maktaba ndogo ya kujisomea iliyopo katika …

Raia wa Uingereza mbaroni kwa Bhangi

Na Mwandishi Wetu, Thehabari, Mwanza MENEJA wa Kampuni ya OTS ya mkoani Shinyanga, ambaye ni raia wa Uingereza  anashikiliwa na Jeshi la Polisi Jijini hapa baada ya kudaiwa kupatikana na misokoto minne ya dawa za kulevya aina ya bhangi kwenye gari analotumia. Meneja huyo, Hilton Millers (28) alikamatwa juzi majira ya saa 9 mchana katika Hoteli ya Tilapia Kapripoint jijini …

Mbowe aachiwa huru, ulinzi mkali watawala

  Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha jana mjini hapa imemfutia hati ya kukamatwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe, hati iliyokuwa imetolewa na Mahakama hiyo. Mbele ya Hakimu Mfwidhi wa Mahakama hiyo, Charles Magessa Mahakama pia imemuondoa mdhamini wa Mwenyekiti huyo baada ya kushindwa kutokea mahakamani …

Tanzania: Internet Cafés Under Threat

Mobile Internet threats the survival of Internet cafe businesses in the country according to experts. To be able to survive they have been advised to change their business models or risk being swept out of the market. Available data shows that more Tanzanians are accessing the internet via mobile phones than through computers. According to the 2010 Digital Life report …

Vigogo wanaotaka urais waivuruga CCM Arusha

Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha KAMATI  ya maadili na usalama  mkoa wa Arusha iliyoshirikisha wajumbe watatu kutoka makao makuu ya CCM na UVCCM  imeelezwa kuwa chanzo kikuu cha vurugu za vijana Arusha kuwa  ni mbio za kuwania urais mwaka 2015. Inadaiwa kuwa  katika kamati hiyo wanachama wa UVCCM mkoa wa Arusha wamebainisha wazi kuwa jumuia hiyo hivi sasa inatumiwa na …