Na Mwandishi Wetu, Thehabari, Maswa MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda amesema CCM ina uchakavu wa fikra na anguko la vitendo linalowatafuna viongozi wake hivyo kushindwa kutambua hisia za wananchi. Kwamba viongozi hao wamesahau na kuzitupa siasa za Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa kuwa na sera ya kutesa kwa zamu hali inayowanyima haki wananchi ya …
Ikulu yasikitishwa na kauli ya viongozi wa dini
(Kushoto ni Jengo la Ikulu ya Tanzania) Taarifa za Maaskofu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kumpa Rais Jakaya Mrisho Kikwete saa 48 kuwataja kwa majina viongozi wa dini wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya, ni kauli ya kusikitisha na ambayo haikutegemewa kutoka kwa viongozi hao wa dini. Viongozi wa dini ni watu wa kutumainiwa sana katika jamii yeyote, lakini …
“Ghosts” — Albinism in Tanzania
Tanzania’s albinos face many challenges and form a soccer team to fight prejudice. Albinism is a genetic condition causing a lack of melanin in the skin, eyes and hair. It is estimated to affect one in 3,000 people in Tanzania — seven times as many as in the West. Unlike those in the West who lead relatively normal lives, albinos …
Nyumba 23 za wafugaji zachomwa na wakulima
Na Mwandishi wa Thehabari, Sumbawanga MGOGORO baina ya wafugaji na wakulima umeibuka tena baada ya wakazi wa Kijiji cha Majalila wilayani Mpanda kuchoma moto nyumba 23 za wafugaji kwa madai mifugo yao imeharibu mazao katika mashamba ya wakulima. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa tatu asubuhi katika Kijiji cha Majalila, baada ya wakazi hao wapatao 500 kuamua kuendesha msako …
Wabunge wa CCM waibana Serikali kuhusu umeme
Pichani Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza jambo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (Walemamvu) Mh. Al-Shaymaa Kwegyir mara baadaya kutoka kwenye kipindi cha maswali na majibu kwenye mkutano wa Nne wa Bunge la Bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012. Juni 8 ni siku ya kusomwa kwa Bajeti ya Serikali. (Picha …
US warns Tanzania over impact of Serengeti road
WASHINGTON — The Obama administration said Wednesday it has raised concerns with Tanzania’s government about the impact of its plan to build a road through the Serengeti wildlife reserve, which environmentalists say could affect the famed wildebeest migration and threaten endangered species. The top U.S. diplomat for Africa, Johnnie Carson, said he brought the matter up in meetings with top …