Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, chini ya Jaji Kakusulo Sambo imeamuru kukamatwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk. Valentino Mokiwa na Stanley Hotay kwa kukiuka amri ya Mahakama na kumsimika Askofu, Stanley Hotay. Amri hiyo imetolewa ikiwa ni siku mbili tangu kusimikwa kwa askofu huyo, ambapo Ijumaa iliyopita mahakama …
Dr. Shein asema dawa ya mfumuko wa bei ni kuimarisha sekta ya kilimo
Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Mjini Magharibi amesema kuwa dawa ya mfumko wa bei ni kuimarisha sekta ya kilimo na kuzalisha kwa wingi vyakula vinavyotumiwa sana na wananchi hapa nchini. Dk. Shein aliyasema hayo leo …
Wabunge ‘kumsulubu’ Mkulo Dodoma leo
Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma WABUNGE leo wanatarajia kuendelea na vikao vya Bunge baada ya Spika Anne Makinda kuhairisha vikao kwa mapumziko ya mwishoni mwa wiki huku baadhi ya wabunge wakisubiri kwa hamu kuichambua bajeti ya mwaka 2011/2012 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo. Kabla ya wabunge hao kumpzika, Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo alisoma bajeti ya …
WAZIRI MKUU AZISHUKURU MAREKANI, IRELAND KWA MSAADA WA DOLA MILIONI 8.7
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amezishukuru Serikali za Marekani na Ireland kwa kuongeza fedha za misaada kiasi cha dola za Marekani milioni 8.7 kwa ajili ya mradi wa kuboresha lishe nchini (Scaling Up Nutrition – SUN) kuanzia mwaka huu. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Jumapili, Juni 12, 2011) wakati akiendesha kikao cha mazungumzo ya viongozi wa juu (high-level Roundtable meeting) kwenye …
AfDB will be held in Arusha Tanzania next year
During the just ended 2011 African Development Bank Group (AfDB) Annual Meetings that were held in Lisbon, Portugal from 9th to 10th June 2011, the President of the Bank, Dr. Donald Kaberuka announced that the next year meetings of the Bank will be held in Arusha Tanzania. Again, this is another unique chance for Tanzania to ‘market’ herself in international …