A special course geared to empower students planning to join Universities and colleges this year to be able to manage education and social challenges starts in Dar es Salaam today. The intensive course to be conducted in a weeklong phases runs from June to August 30th this at RAIDA High School, Tabata Changombe, near Barakuda area, Ilala District, Dar es …
Rais Kikwete atoa mada kuhusu muundo wa maendeleo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Juni 20, 2011, alikuwa ni miongoni mwa wakuu wa Serikali na nchi za Afrika waliopewa mada maalum kuhusu Muundo Mpya wa Maendeleo wa Malaysia (New Economic Model for Malaysia) programu zake za utekelezaji. Mpango huo unalenga kuivusha nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia kutoka kwenye hadhi yake …
Je wazijua dalili sita za Baba bora? “Happy Father’s Day” Wadau!
Leo ni siku ya Baba hapa Marekani, na TheHabari inapenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza mababa wote duniani. Hii ni siku ambayo ina enzi malezi ya baba na ushawishi wake katika jamii. Siku ya Baba, ni siku ambayo inasheherekewa na nchi mbalimbali katika jumapili ya tatu ya mwezi wa Sita, na nchi nyingine huwa inasheherekewa miezi mingine tofauti. Katika pekua pekua, TheHabari …
Wabunge waitaka Serikali ipunguze matumizi!
Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma BUNGE la bajeti ya Serikali ya mwaka 2011/2012 linaendelea leo mjini hapa baada ya mapumziko ya wiki, huku wabunge wakiishawishi Serikali kupunguza matumizi ya fedha za umma. Wabunge mbalimbali mbao hadi sasa wamechangia katika bajeti hiyo tangu wiki iliyopita wanaonekana kuitaka Serikali kuhakikisha inapunguza matumizi ikiwa ni njia ya kubana matumizi. Hata hivyo tumeshuhudia baadhi …
JK: Maendeleo ya kiuchumi Africa yanakwamishwa na fedha
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete amesema changamoto kubwa inayokwamisha ukuaji wa kasi wa uchumi na maendeleo ya kasi zaidi ya Bara la Afrika unasababishwa na ukosefu wa fedha za kutosha kugharamia miradi ya maendeleo. Rais Kikwete amesema kuwa kutokana ukweli kwamba njia za jadi za kupata fedha za kutosha za kuharakisha ukuaji wa kasi zaidi …