MHE.FREEMAN MBOWE AANZA KURUDISHA SHANGINGI LAKE

Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe ambaye ameamua kurudisha shangingi lake ili lipigwe mnada kama njia ya kupinga mashangingi kama hilo chini serikalini na wabunge. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2011/2012: Utangulizi. Mnamo tarehe 21/06/2011 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Makadirio na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2011/2012 . Pamoja …

SERIKALI KUANGALIA UPYA GHARAMA ZA BEI YA MAFUTA

Na Veronica Kazimoto – MAELEZO, Dodoma 21/6/2011, SERIKALI inaandaa utaratibu wa kupitia upya mchanganuo wa tozo zilizopo katika nishati ya mafuta kwa lengo la kupunguza makali ya maisha na bei ya nishati hiyo inayosababisha mfumko wa bei ya bidha mbalimbali nchini. Akijibu swali la Mbunge wa Handeni Dk. Abdallah Kigoda leo mjini Dodoma kuhusu athari za mfumuko wa bei kwa …

Kikwete receives LID Baton, Tanzania to host Langkawi International Dialogue

Malaysian Prime Minister Najib Abdul Razak hands over a symbolic ball to President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete signaling that Tanzania has been honoured to become a host to the next Langkawi International Dialogue(LID) in 2013. The colourful handover ceremony was held at Putrajaya Convention Centre in Malaysia this morning. The Langkawi International Dialogue (LID is part of Smart Partnership dialogue …

Mlemavu wa miguu aomba msaada Songea

Songea UONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Matarawe Kata ya Matarawe eneo la Asia Kovu unatakiwa kujivua gamba, baada ya kushindwa kuwapa huduma ya utambulisho wa barua mlemavu mmoja aliyeahidiwa kupewa msaada na CCM makao Makuu. Mlemavu wa miguu Adamu Mohamed aliomba msaada makao makuu ya CCM Dodoma, yakupewa msaada wa usafiri ama mtaji wa biashara kutokana na …