TGNP kutoa mafunzo kwa wanaharakati mikoa mitano

Kuanzia tarehe 28 Juni hadi 1 Julai 2011, kwa muda wa siku nne, Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) utasambaza wafanyakazi wake katika kanda tano nchini kukutana na wanaharakati wa ngazi ya jamii kwaajili ya warsha ya kujengeana uwezo na nguvu za pamoja katika kujenga tapo la mabadiliko katika jamii, ambalo litachangia kuwepo kwa jamii yenye mabadiliko, yenye kutambua na kuthamini …

Tanapa kuwashindanisha wanahabari, vyombo vya habari

Na Joachim Mushi, Morogoro SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeanza kuwashindanisha waandishi wa habari pamoja na vyombo vya habari kuripoti taarifa mbalimbali za mbuga hizo ikiwa ni mkakati wa kuzitangaza mbuga hizo ambazo zimekuwa na mchango mkubwa kwa taifa. Kauli hiyo imetolewa jana mjini hapa na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Alan Kijazi alipokuwa akifungua warsha ya Jukwaa la …

Lowassa avunja ukimya bungeni, aitaka Serikali kufanya maamuzi magumu

WAZIRI Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa(CCM) amevunja ukimya kwa mara ya kwanza Bungeni kwa kuamua kutema cheche kwa kuitaka Serikali kuchukua maamuzi mazito katika mambo mbalimbali nchi iweze kusonga mbele na anaamini hilo linawezekana. Amesema ni bora viongozi waliopo Serikali wakawa wanafanya maamuzi kuliko kutofanya maamuzi ni makosa makubwa ni bora ukaalaumi kwa maamuzi uliyofanya kuliko kulaumiwa …

Mbunge aanguka bungeni na kuzirai

Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma MBUNGE wa Viti Maalumu Mwanakhamisi Kassim Said (CCM) ameanguka ghafla na kuzirai Bungeni wakati vikao vya Bunge vinaendelea na kupelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kupata msaada zaidi. Tukio hilo lilitokea jana mchana mjini hapa wakati wabunge wakiendelea kuchangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2011/2012. Hali hiyo ilishtua idadi kubwa wa …