TRA yakwamisha maonesho ya Saba Saba kuanza kwa wakati

Na Joachim Mushi WAKATI Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa ya Saba Saba yakitangazwa kuanza jana jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere bado idadi kubwa ya mabanda ya maonesho katika viwanja hivyo hayajafunguliwa na wahusika wameonekana wakiendelea na maandalizi kukamilisha hatua mbalimbali katika mabanda yao. Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu jana katika viwanja hivyo ulibaini idadi …

Tigo mdhamini mkuu Saba Saba 2011

KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo ni mdhamini mkuu wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba ya mwaka huu, yanayotarajia kuanza leo katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kufuatia udhamini huo tigo wametoa kiasi cha shilingi milioni nne ambazo zitagharamia muda wa maongezi, simu 20 aina ya blackberry, simu 20 aina ya nokia na …

Hotuba ya Waziri Kombani huko Sri Lanka leo.

  STATEMENT BY THE PRESIDENT OF THE 49TH ANNUAL SESSION OF THE ASIAN-AFRICAN LEGAL CONSULTATIVE ORGANISATION (AALCO) HON.CELINA O. KOMBANI (MP) AT THE  50TH ANNUAL SESSION OF AALCO, COLOMBO, SRI LANKA ON 27TH JUNE, 2011     Your Excellency, Rauff Hakeem, Minister for Justice of the  Democratic Socialist Republic of Sri Lanka, Your  Excellency, Prof. G. L. Peiris, Minister for …

Watendaji SMZ watakiwa kubadilika kiutumishi

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kubadilika katika kuwatumikia wananchi pamoja na kutekeleza majukumu yao. Dk. Shein aliyasema hayo alipokuwa akifunga Semina Elekezi juu ya Kuimarisha Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huko …

JK atia saini kitabu cha maombolezo kifo cha Chiluba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi ametia saini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Zambia, kuomboleza kifo cha Dkt. Frederick Chiluba, Rais wa zamani wa Zambia. Mara baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo, Rais Kikwete na Mkewe, akiongozana na Mama Salma ametoa rambirambi kwa wananchi wa Zambia kupitia kwa balozi wa Zambia hapa nchini Bibi Mavis Lengalenga Muyunda na …

Pinda: Wakuu ya mikoa, wilaya simamieni halmashauri

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Wakuu wa Mikoa na wa Wilaya wana wajibu wa kuzisimamia Halmshauri zote nchini kuhakikisha kazi ya kuleta maendeleo na kuondoa umasikini inatekelezwa vizuri na Halmashauri zinazingatia thamani ya fedha (Value for Money) katika utekelezaji wa miradi mbalimbali. Mhe. Pinda alikuwa akizungumza katika Semina Elekezi kwa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa …