President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (R) meets with the Co-Chair of Bill and Melinda Getes Foundation, Bill Gates at State House in dare s Salaam Wednesday June 29, 2011. (Photo; State House) President Dr. Jakaya Kikwete (2nd-L) and Vice President, Dr. Mohammed Gharib Bilal, in a group photo with the Chairman of Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates (L) …
Awamu ya Pili ya NEEC kuiwezesha mikoa 5
Na Joachim Mushi BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi (NEEC), limeongeza mikoa mingine mitano zaidi ambayo wananchi wa mikoa hiyo wataanza kunufaika na fursa ya uwezeshaji kupitia shughuli za kilimo hasa cha umwagiliaji pamoja na ufugaji kimakundi. Hayo yalisemwa jana na Ofisa Mwandamizi, Uhusiano wa Umma na Ushawishi, Edward Kessy alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao huu ndani ya viwanja vya …
Mabadiliko kudhibiti uchakachuaji mafuta hayamuathiri mtumiaji wa mwisho-Ewura
Na Jochim Mushi MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imesema hatua ya mabadiliko ya kuongeza kodi ya mafuta ya taa kudhibiti uchakachuaji wa mafuta ikiwemo diseli haujamuathiri mtumiaji wa mafuta ya taa kama inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Dar es Salaam na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mahusiano wa …
Naibu Meya Chadema, madiwani Arusha watimuliwa ziarani
Na Janeth Mushi, Thehabari Arusha IKIWA ni siku chache baada ya madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumaliza tofauti zao kisiasa na Chama Cha Mapinduzia (CCM) katika Manispaa ya Arusha, Naibu Meya wa manispaa hiyo, Estomihi Malla kutoka CHADEMA jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutimuliwa na mlinzi wa Shule ya Sombetini akiwa katika ukaguzi wa shule …
Mkuu wa Mkoa atoa ambulance Mt. Meru
Mkuu wa Mkoa atoa ambulance Mt. Meru Na Janeth Mushi, Thehabari Arusha OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imetoa magari mawili yenye thamani ya sh. milioni 253.8 kwa Hospitali ya Mkoa huo ya Mt. Meru kwa ajili ya kubebea wagonjwa. Akikabidhi magari hayo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isidore Shirima alisema lengo la ofisi yake kutoa magari hayo ni …