Dodoma SERIKALI imemsafisha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Andrew Chenge kwa madai kuwa hahusi na kashfa ya Rada na kutaka mwenye ushahidi apeleke na serikali itaupokea na kumfikisha kwenye vyombo vya dola. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe alimsafisha Chenge Bungeni jana wakati anahitimisha hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2011/2012 ya wizara …
Dk. Shein apokea ripoti ya kura za maoni na Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar
Pichani Dk. Shein akipokea ripoti hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Khatib Mwinchande. Picha kwa hisani ya Ikulu Zanzibar. Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametoa pongezi kwa juhudi kubwa zilizochukuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kuendesha uchaguzi mkuu uliopita pamoja na kura …
Shibuda kufukuzwa!
Lissu asema wanajipanga uchaguzi mdogo *Aandikiwa barua akitakiwa atoe maelezo *Kamati Kuu Chadema kutoa msimamo Na Mwandishi Wetu, Dodoma HAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kipo tayari kuingia katika uchaguzi mdogo katika Jimbo la Maswa Magharibi iwapo Kamati Kuu itaamua kumvua uanachama Mbunge wa Jimbo hilo, John Shibuda (CHADEMA). Msimamo huo ulitolewa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi …
The launch of Kili Jivunie Utanzania Campaign
From Left Kilimanjaro Premium Lager Brand Manager, George Kavishe, Tanzania Breweries Limited board member, Ali Mwaimu, TBL Managing Director, Robin Goetzsche, TBL Board Director, Arnold Kileo, TBL board member, Geoffrey Msella, the TBL Marketing Director, David Minja and the TBL External Affairs and Communications Manager Emma Orio toast to signify the launch the Kili Jivunie uTanzania Campaign at the National …
Serikali itekeleze makubaliano ya AU kuhusu walemavu-ICD
Na Joachim Mushi KITUO cha Habari Kuhusu Ulemavu (ICD) kimeiomba Serikali kuanza utekelezaji wa makubaliano ya mkataba wa watu wenye ulemavu ulioridhiwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (AU), tangu mwezi Mei mwaka jana. Asasi hiyo mwanaharakati kwa wenye ulemavu imesema inapatwa na hofu kuamini kwamba Serikali ina nia ya dhati ya kutekeleza mkataba huo wa watu wenye ulemavu, …
TATIZO LA MAJITAKA HOSTELI ZA MABIBO KUPATIWA UFUMBUZI
Na Veronica Kazimoto–MAELEZO 5/07/2011 Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) umekiri kuwapo kwa tatizo la maji taka yanayotoka katika Hosteli za Mabibo kuelekea Mto Kisiwani ulioko Ubungo Kisiwani jijini Dar es Salaam, hali inayosababisha kero kubwa kwa wananchi wanaoishi karibu na hosteli hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala, Prof. Yunus …