Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee amemlipua kigogo mmoja wa, Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa madai kuwa anamkingia kifua, Robert Mugisha anayejenga katikati ya mto na hivyo kusababisha kero kwa wakazi wa Kawe Darajani. Amedai kuwa, Mshumbusi anaendelea na ujenzi huo kwa kutumia hati isiyohalali aliyopewa na kigogo huyo. Mdee alitoa kauli hiyo Bungeni jana, …
President Kikwete receives warm reception in Juba
The First Lady Mama Salma Kikwete receives a bouquet of flowers shortly after she arrived at Juba International airport, to participate in the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan while President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete looks on. The First Lady accompanied the President to South Sudan independence celebrations held in Juba. South Sudanese children welcome …
Yanga, Simba uso kwa uso fainali ya Kagame leo
Na Joachim Mushi TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wanatarajia kupanda uwanjani kupepetana na watani wao wa jadi Simba ya Dar es Salaam. Mchezo huo wa Fainali ya Kombe la Kagame unatarajia kuwa mgumu kwa pande zote kutokana na uhasimu wa soka uliopo kati ya timu zote mbili, ambazo …
TAKUKURU wamnasa Kamanda feki wa TAKUKURU Igunga
Igunga KAMANDA feki wa Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Stanley Kimaro ametiwa mbaroni na maofisa wa TAKUKURU mjini Igunga baada ya jamaa huyo kujifanya Kamanda wa tasisi hiyo wa wilaya ya Igunga mitaani. Kimaro alikuwa akiwapiga mkwara watumishi mbalimbali wa serikali wakiwemo askari Polisi kuwa yeye ni Ofisa TAKUKURU mgeni wa Wilaya hiyo na kuweza kuwatapeli sh.150,000 …
Mganga anyofoa sehemu za siri za mteja wake na kutoweka
Na Mwandishi Wetu, Urambo MWANAMKE mmoja (66) mkazi wa Kijiji cha Mwendakulima Wilaya ya Urambo mkoani Tabora amefariki dunia baada ya mganga wa kienyeji kumnyofoa sehemu yake ya siri na kisha kukimbia nayo, alipokuwa akipatiwa matibabu kwa mganga huyo. Marehemu huyo, Salome Shikombe jina tunalihifadhi kimaadili ya taaluma hii, alikwenda nyumbani kwa mganga, Kabula Mateo kutibiwa, ambapo hata hivyo haikuweza …
Waziri Sitta amjibu Mbowe
Dodoma WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Kaimu Kiongozi wa shughuli za Bunge, Samuel Sitta amesema, hamshangai Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (CHADEMA) kuiponda Serikali ya CCM na kutaka ilaumiwe kwa kutoimarisha miundombinu vijijini, hali iliyosababisha vijana wengi kukimbilia mijini. Alisema hoja hizo hazina ukweli wowote kwani Serikali ya CCM inajitahidi kwa kila hali …