Vodafone watembelea wodi ya Fistula CCBRT

 1) Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw. Erwin Telemans akifafanua jambo kwa mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza Elizabeth Filkin wakati wakielekea kweye wodi ya wagonjwa wa Fistula inayofadhiliwa na Kampuni y a simu za mkononi ya Vodacom Tanzania. 2) Muuguzi wa …

Kili yaandaa tamasha la Jivunie uTanzania

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Bw. George Kavishe. Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager imeandaa tamasha linalojulikana kama Kilimanjaro Premium Lager Fun Festival. Taarifa iliyotolewa jana Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Bw. George Kavishe ilisema huu ni uzinduzi wa Kampeni …

Madiwani Chato wagomea kikao wagawanyika

Jengo la Halmashauri ya Chato Chato SAKATA la madiwani katika Halmashauri ya wilaya ya Chato mkoani Kagera la kugoma kuingia kwenye kikao cha Baraza limeingia sura mpya baada ya baadhi yao kujitenga na kuunda Baraza jipya la muda pamoja na kumchagua Mwenyekiti wa Halmashauri. Katika kikao kilichofanyika juzi mjini Chato madiwani hao 14 kutoka chama cha mapinduzi CCM kwa kushirikiana …

Wafanyabiashara TRC wagoma kulipa ushuru

Mwandishi Wetu, Mpanda WAFANYABIASHARA wanaosafirisha mpunga na mahindi kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), kituo cha Mpanda wamegoma kulipa ushuru kwa Halmashauri ya Mji huo kwani wamekuwa wakitozwa mara mbili. Akizungumza kuwawakilisha wenzake mjini hapa jana, Mussa Amijee mkazi wa Mkoa wa Tabora alisemawamekuwa wakinunua mazao yao maeneo anuai ya wilaya hiyo na Mkoa wa Rukwa na kutozwa ushuru na …

Zanzibar yataka itifaki ya utawala bora EAC

Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi wa EANA RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuzingatia utawala bora, kwani ni nguzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Dk. Shein alisema hayo jana alipokuwa akifungua mkutano wa mawaziri wanaoshughulikia mambo ya nje, utawala bora na katiba mjini Zanzibar, …

Bunge laipongeza Yanga kutwaa ubingwa wa Kagame

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza timu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame kwa kuwatandika watani zao timu ya soka ya Simba pia ya Dar es Salaam kwa gori 1-0. Pongezi hizo zimetolewa bungeni jana na Spika wa Bunge, Anne Makinda muda mfupi baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na …