Na Mwandishi Wetu, Arusha. MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweriers (SBL), Jaji Marck Bomani, amewataka wahariri wa habari nchini kutokubali kufanya kazi yao kwa shinikizo la watu na kutelekeza maadili ya taaluma hiyo. Amesema vyombo vya habari ni muhimu kutokana na kazi yao kubwa kwa jamii hivyo ni vema vikafanya kazi kwa kufuata maadili ili visije …
Safari ya mkutano wa wahariri na matukio katika picha
Safari ilianzia hapa (Dar es Salaam) kwa kutumia mabasi ya kisasa ya Kampuni ya Metro kuendelea mkoani Arusha. “Haina majotrooooooooooo” ni burudani kwenda mbele. Baadhi ya wahariri na wanamsafara mzima wakipata picha za kumbukumbu kabla ya kuivuka ardhi ya Jiji la Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wakijuliana hali huku safari ikiendelea. Haikuwa ajabu mtu kuhama kutoka sehemu moja kwenda …
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 3 WA BARAZA LA WAKUU WA VYUO VIKUU HURIA AFRIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mhadhiri Chuo Kikuu Huria cha Zanzibar Tanzania, Grace Kissassi, wakati alipokutana naye baada ya kufungua rasmi mkutano mkuu wa 3 wa Baraza la wakuu wa Vyuo Vikuu huria kutoka Afrika, kuhusu elimu ya mafunzo ya masafa uliofunguliwa rasmi leo Julai 13, 2011 kwenye Ukumbi wa …
Yametimia CCM, Rostam ajivua gamba, aachia nafasi zote CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Igunga Rostam Azziz. HOTUBA YA MHE.ROSTAM AZIZ KWA WAZEE WA IGUNGA TABORA LEO UTANGULIZI WAZEE wangu, kwanza kabisa kabla ya kueleza kile ambacho kimenisukuma kuzungumza nanyi leo,napenda kuanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kufikia siku hii ambayo inatukutanisha waja wake. Wazee wangu wa Igunga,baada ya kufanya hivyo napenda pia kutumia fursa hii kuwashukuru ninyi …
Barrick yatoa bilioni 3.2l/- kwa mradi wa maji Shinyanga
KAMPUNI ya uwekezaji kwenye sekta ya madini ya African Barrick Gold (ABG) kupitia mgodi wake wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, itawekeza dola za Marekani zisizopungua milioni 2 (sawa na shilingi 3.2 bilioni) kwenye mradi mkubwa wa maji ambao utawanufaisha maelfu ya wakazi wa eneo hilo. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana jijini Dar es …
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yadhamini mkutano wa Jukwaa la wahariri Arusha
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania, Absalom Kibanda (wa tatu kushoto) akizungumza na wanahabari leo. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kushirikiana na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), wamendaa mkutano wa kitaaluma wa wahariri utakaofanyika Arusha kuanzia Alhamisi, Julai 14 hadi Jumamosi, Julai 17, 2011. Mkutano huo utawashirikisha wahariri wapatao 80 kutoka Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar ambapo mada …