Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadhara Maelefu ya watu kumtano kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya Msafara wa pikipiki ukipokea msafara Nape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya Nape akiendelea kuhutubia kwa hamasa kubwa Mwenyekiti wa …
Wazee CCM waunga mkono Rostam kujivua gamba
BARAZA la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Dar es Salaam limesema uamuzi uliofanywa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Igunga Rostam Azizi ni uamuzi wa kawaida na si kwanza kufanya hivyo. Limesisitiza kuwa hata aliyekuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Makamu wa Rais wa Kwanza kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungamo wa Tanzania Aboud Jumbe Mwinyi …
dev.kisakuzi.com yashinda tuzo mbili mashindano ya blog Tanzania
Moja ya cheti cha ushindi ambacho dev.kisakuzi.com imekabidhiwa baada ya ushindi. WEBSITE ya kimataifa ya Thehabari (dev.kisakuzi.com) imeshinda tuzo mbili katika mashindano yalioendeshwa na taasisi ya nje kwa kuzishindanisha blog na website zote nchini Tanzania. Mashindano hayo yalioendeshwa kwa wasomaji kuzipigia kura blog/website wanazoona zinastahili kushinda kwa vipengele tofauti, yamemalizika huku mtandao huu ukishinda katika tuzo mbili tofauti na kupewa …
Wahariri watembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti Moshi
Wahariri wa habari nchini Tanzania kutoka vyombo mbalimbali wakitembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Ltd) kilichopo mjini Moshi jana baada ya kumaliza mkutano wao mkuu uliofanyika mkoani Arusha. Anayewaongoza ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda. Sehemu ya mtambo wa Bia ya Serengeti ukiendelea na kazi kiwandani hapo.
Mbunge wa CHADEMA amlipua Sitta
Na Debora Sanja, Dodoma SPIKA wa Bunge mstaafu, Samuel Sita, amelipuliwa bungeni baada ya Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, kuhoji uhalali wake wa kuishi katika nyumba ya Spika wa Bunge wakati yeye si Spika. Msigwa alimlipua Sitta bungeni jana, wakati akiuliza swali katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Alisema wakati Sitta akiwa Spika, alipangishiwa …
Lowassa: Nasikitika Rostam kujiuzulu
• Aliumia zaidi wananchi walipolia • Asema muda ukifika atasema cha kufanya • Chadema watamba kushinda Igunga Na Maregesi Paul, Dodoma Babu sikutarajia kama hali hiyo ingelitokea,” alisema Lowassa. Alipotakiwa kusema yeye atajiuzulu lini kwa kuwa naye ni miongoni mwa wana CCM ambao wamekuwa wakilalamikiwa, alisema kwa kifupi kwamba muda ukifika nitasema. Wakati huo huo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo …