Matapeli yaingilia mawasiliano ya ‘wahariri’ Tanzania

Nevilli Meena (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalon Kibanda. Na Mwandishi Wetu WATU wasiojulikana wameingilia mawasiliano ya mtandao ya Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na kuanza kuutumia kwa masuala hayo ikiwa ni pamoja na kufanya vitendo vya kitapeli kwa kutumia mawasiliano (e-mail). Matapeli hao wa mtandao walifanikiwa kuingia katika mawasiliano hayo ya siri …

Rais Kikwete aelekea Afrika ya Kusini kwa ziara ya kidola!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Julai 18, 2011, anaanza Ziara ya kihistoria ya Kidola (State Visit) katika Afrika Kusini, ikiwa ziara ya kwanza ya aina yake kufanywa na Rais wa Tanzania katika nchi hiyo. Rais Kikwete anafanya ziara hiyo kwa mwaliko wa Rais wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Zuma ambaye utawala wake …

Wabunge nao watembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini Dodoma!

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (CCM) akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa mradi wa Biofueli Bi. Ester Mfugale mara alipotembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini kwenye maonyesho yake yanayoendelea kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma. Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini  Mhe.John Mnyika (CHADEMA) akimsikiliza kwa makini Mtendaji …

WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MTERA!

Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji yamejaa katika eneo hilo. Katika kiuto hicho kiwango cha juu cha kuzalisha umeme ni mita 698 wakati cha chini cha kuzalisha nishati hiyo ni mita 690 na jana (juzi) kipimo hicho kilionyesha mita 690.74, ambapo. Bwawa hilo linazalisha …

Mh. Pinda alivyotembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini Bungeni Dodoma

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata  maelezo kutoka kwa Fundi Sanifu Bi Jemina Sadatale kutoka Mradi wa Umeme Jua wa KKKT Mpwapwa unaofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) mara alipotembelea banda hilo kwenye maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea katika viwanja vya bunge mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini mtaalamu Bw. Godwin Msigwa kutoka  …

‘Kujivua gamba’ kwa Rostam, CCM waonyesha usikivu!

Na Rungwe Jr. Ndugu zangu, Juma hili Mh. Rostam Aziz hatimaye ‘amejivua gamba’. Kama tulivyosikia na kusoma hotuba ya Mh. Aziz mwenyewe wakati anawaaga wana Igunga, haukuwa uwamuzi rahisi kwake. Pamoja na hayo, huu ni uwamuzi wa busara na hatua ya msingi kwa chama chake cha Mapinduzi, kwani angalau kimeonyesha usikivu katika yale yanayopigiwa kelele. Moja ya yale yanayopigiwa kelele na wadau mbalimbali ni hatma ya …