Naibu Mhariri New Habari afariki dunia

Danny Mwakiteleko, kulia akiwa mjini Arusha hivi karibuni akihudhuria Mkutano Mkuu wa Wahariri Tanzania, kushoto ni baadhi ya wahariri wenzake kutoka vyombo mbalimbali vya habari. NAIBU Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006), Danny Mwakiteleko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwakiteleko ambaye hivi karibuni alipata ajali mbaya eneo la TIOT, kuelekea Tabata jijini Dar es Salaam, akitokea kazini amefariki baada …

Breaking News; Mhariri Mtendaji wa dev.kisakuzi.com apata ajali

Simon Mkina MHARIRI Mtendaji wa gazeti la mtandao ‘Thehabari.com’, Simon Mkina amepata ajali na kwa sasa amelazwa katika hospitali ya IMTU iliyopo maeneo ya Mbezi Beach. Mkina alipata ajali hiyo usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam, akitokea kazini kuelekea nyumbani kwake maeneo ya Boko nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na …

Guninita ‘amvaa’ Sitta

• Adai ni mzigo, anawadanganya na kuwapotosha wananchi • Asisitiza ni sehemu ya tatizo la mgawo wa umeme • Asema si mgeni serikalini, ni mchochezi, mnafiki na mfitini • Aonya anaigawa, anaitumbukiza CCM kwenye shimo • Asema mambo yakiendelea hicho mwaka 2015 CCM itaambulia patupu MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amemlaumu Waziri …

Mkurugenzi Takukuru amsafisha tena Chenge!

* Ni kuhusu suala la rada, adai wezi ni Waingereza * Asema Chenge anachunguzwa alikopata ‘vijisenti’ Na Mary Mwita, Arusha MKURUGENZI  wa Taasisisi ya  Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru),  Dk. Edward Hosea amezidi kumsafisha Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge   kuhusu tuhuma za rada. Amesema Chenge ambaye ni mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali,  hausiki na tuhuma hizo ingawa  anachunguzwa kuhusu …

Mafuru apointed as Director of Marketing SBL

Ephraim Balozi Mafuru Ephraim Mafuru, has been appointed as Director of Marketing at Serengeti Breweries Limited (SBL), reporting to the Managing Director. Ephraim joins SBL from Consultancy firm Hillside Investment Company Limited where he was one of the directors. Mafuru holds an MBA from the University of Dar-Es-Salaam Business School, BCOM in Marketing (UDBS) and a Diploma in Business Administration …

Dk Slaa: Hatma ya madiwani Arusha leo

Dk. Willibroad Slaa Na Edson Kamukara SIKU moja baada ya madiwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Arusha kugomea maamuzi ya Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, yaliyowataka wajivue nyadhifa za Unaibu Meya na Uenyekiti wa Kamati mbili, Katibu Mkuu, Dk. Slaa ameibuka na kusema leo mchama hatma yao itajulikana. Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es …