Waziri Membe ainadi wizara yake kwa wananchi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb.) jana mjini hapa (6 Agosti, 2011), ametembelea Maonyesho ya Nanenane. Waziri Membe katika ziara hiyo alipata fursa ya kujibu maswali mbalimbali ya baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na taasisi zake, kikiwemo Kituo cha kimataifa cha Mikutano …

Serikali na wauza mafuta wavutana

5th August 2011 WAKATI wafanyabiashara wa mafuta nchini wamesisitiza kwamba wataendelea na mgomo wao hadi bei itakapoongezwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Mafuta na Maji (EWURA) imesema itafuta leseni kwa kampuni zitakazoendelea kugoma. Kwa nyakati tofauti jana, Ewura na wamiliki hao kupitia Chama cha Waagizaji Wakubwa wa Mafuta ya Petroli nchini (TAOMAC), walifanya mikutano na waandishi wa habari Dar es Salaam …

Pinda ahofia utendaji wa viongozi wa Serikali, ataka wapimwe

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema kuna haja ya kuweka utaratibu maalum wa kuwapima viongozi wa Serikali ili kuona kama wanatekeleza kwa vitendo kauli ya Kilimo Kwanza. Ametoa kauli hiyo jana Agosti 5, 2011 akizindua maonesho na mashindano maalum ya mifugo katika Viwanja vya Nzuguni nje kidogo ya Mji wa Dodoma, ambako maonesho ya Nane Nane yanaendelea. “Kiongozi ni lazima aoneshe …

Dk. Bilal ana kwa ana na Hamad Rashid Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Hamad Rashid, wakati walipokutana nyumbani kwa Makamu mjini Dodoma hivi karibuni. Katikati ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

COMMONWEALTH SCHOLARSHIP COMMISSION IN THE UNITED KINGDOM

COMMONWEALTH SCHOLARSHIP COMMISSION IN THE UNITED KINGDOM INVITES APPLICATIONS FOR SCHOLARSHIPS FROM STUDENTS FROM DEVELOPING COMMONWEALTH COUNTRIES Hello Friends, Please Follow the link below it might be an Opportunity to your Relatives, Daughter, Sons or any one close to you to achieve their dream carrier. For more information visit:- http://dewjiblog.com/?p=3259 Wishing you all the best of Lucky.