Wanawake wavutaji sigara hatarini zaidi!

Marekani. UTAFITI uliofanywa hivi karibuni umeonesha kuwa wanawake wanaovuta sigara wapo hatarini kuliko wanaume wavutaji wa ulevi huo. Wanawake wapo hatarini kushambuliwa na maradhi ya moyo zaidi wanaume walio na kiu ya uvutaji. Utafiti ulioendeshwa miongoni kwa zaidi ya watu milioni 2, umebaini wanawake wako kwenye hatari ya maradhi ya moyo kwa asilimia 25 wakati wanapotumia tumbaku hiyo. Hata hivyo, …

Mapenzi ni kuvumiliana!

Naam, Wahenga waliwahi kusema “Mapenzi ni kuvumiliana.” Ni neema iliyoje kufika fainali ukiwa bado umemshika mkono umpendaye kama tuonavyo wazee hao pichani. Picha na mpiga picha maalum wa thehabari, Ujerumani

Waziri Mkuu Uingereza aitisha Bunge la dharura

BUNGE la Uingereza linatarajiwa kufanya kikao cha dharura baadaye leo kujadili juu ya ghasia ambazo zimeikumba miji kadhaa nchini humo. Taarifa zinaeleza Waziri Mkuu, David Cameron atawasilisha taarifa ya Serikali pamoja na harakati za polisi katika kuthibiti ghasia na uporaji huo. Hii ni mara ya tano wabunge Uingereza wamelazimika kukatiza likizo zao katika miongo mitano. Waziri Mkuu Cameron hii itakuwa …

Mafuta yatachukua muda kurejea hali yake-Ewura

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Mafuta na Maji (EWURA) imesema hali ya kawaida kwa upatikanaji wa nishati za mafuta hasa dizeli na petroli itachukua muda kabla ya kureje katika hali yake ya awali. Kauli hiyo ilitolewa jana na Ofisa Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo alipokuwa akihojiwa na chombo kimoja cha habari, kuelezea utekelezaji wa wamiliki wa …