President Kikwete congraturates Miss Kanza

THE President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has congratulated his Personal Assistant for Economic Affairs, Miss Elsie Kanza, on her appointment to the position of Head of Africa at the prestigious Institution – The World Economic Forum. Her appointment takes place effective Monday, August 8, 2011. In his statement, today, Friday, August 12, 2011, …

Marekani yataka dunia kuitenga Syria

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton amezitaka Serikali za nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo nchi ya Syria kufuatia harakati za kijeshi dhidi ya waandamanaji wanaopinga Serikali. Amesema hatua kutoka Ulaya, China na India zinaweza kuathiri sekta ya nishati nchini Syria na kumshinikiza rais Bashar Al Asaad. Jumatano wiki hii Marekani ilitangaza kuiwekea vikwazo nchi ya Syria. Hata …

Picha za matukio bungeni jana

Baadhi ya wakuu wa Idara na Taasisi ziliopo chi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011-2012 Bungeni Aug.11,2011. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijibu majibu ya masuali ya papo kwa papo Bungeni Aug,11,2011. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya jamhuri …

Rais Kikwete ziarani Namibia

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete yuko mjini Windhoek, Namibia kwa ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo. Rais Kikwete ameondoka nchini asubuhi ya Agosti 11, 2011, na atarejea baada ya ziara hiyo. Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yuko Namibia kuhudhuria mkutano wa wakuu wa vyama vya …

CHODAWU yavunja Kamati ya Utendaji ya Taifa

Na Anna Titus na Esther Muze, Maelezo-Dar es Salaam, BARAZA Kuu Maaluum la Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahoteli, Majumbani na kazi nyingine (CHODAWU) limevunja Kamati ya Utendaji ya Taifa iliyokuwepo na kutengua uteuzi wa aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu, Kiwanga Towegale. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa Idara ya Habari (MAELEZO) jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza …