Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa KCB Tanzania, Christine Manyenye akiwa na moja ya zawadi ambayo alikabidhiwa mmoja ya Wakurugenzi wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania Edmund Mndolwa akimkabidhi zawadi ya mchoro wa Gofu Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Bodi …
Ewura yang’ata yaifungia BP, yaamuru viongozi wafikishwe mahakamani
Na Mwandishi Wetu BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imeagiza Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya BP Tanzania Ltd wafikishwe mahakamani mara moja. EWURA imetoa agizo hilo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashitaka ya Jinai (DPP), na imetaka washtakiwe kwa kukiuka Sheria ya mamlaka hiyo. EWURA pia imesitisha leseni ya biashara ya …
Upatikanaji mafuta Arusha bado ni tatizo
Na Janeth Mushi, Arusha TATIZO la upatikanaji wa mafuta bado limeendelea kuwa kero katika maeneo mengi jijini hapa kutokana na vituo kadhaa vinavyouza mafuta ya dizeli na petroli kufungwa kwa madai kuwa havina mafuta. Uchunguzi uliofanywa na mtandao wa Thehabari mjini hapa katika maeneo mengi jana, ulishughudia kuwepo kwa foleni kubwa za magari yaliyokuwa yakisubiri mafuta hayo. Katika kituo vya …
Mwinyi aitaka jamii kusaidia makundi ya wasiojiweza
Na Anna Titus na Happiness Tesha, MAELEZO-Dar-es-Salaam RAIS mstaafu Ali Hassani Mwinyi ameyataka mashirika, taasisi za kijamii na makundi mengine kujitokeza na kuwasaidia watu wasiojiweza katika jamii ikiwemo ya walemavu wa ngozi (albino) na yatima. Mwinyi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati wa halfa ya kukabidhi msaada wa chakula kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) na …
Mkurugenzi Manispaa Arusha asema hana taarifa za kufukuzwa kwa madiwani Chadema
Na Janeth Mushi, Arusha MKURUGENZI wa Manispaa ya Arusha, Estomih Chang’a amesema kuwa bado hajapokea barua kutoka katika Chama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutowatambua madiwani watano waliofukuzwa ndani ya chama hicho. Chang’a alitoa kauli hiyo jana mjini hapa alipokuwa akitoa taarifa ya kuhairishwa kwa kikao cha Baraza la Madiwani katika Manispaa ya Arusha kilichokuwa kifanyike jana. Hata …
President Dr. Kikwete attends a One Day Summitt of The Leaders of the Former Liberation Movements in Southern Africa
Namibia’s President Hifikepunye Pohamba who is also the president of SWAPO’s ruling party,(right) delivers his opening remarks during the opening session of the one day summit of Leaders of former Liberation movements in Southern Africa held yesterday at Windhoek State House. From left, CCM’s Secretary General Wilson Mukama, CCM’s Chairman President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, ZANU PF Secretary General Didymus Mutasa …